Search results

  1. B

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Tena wewe mwana ccm unatakiwa uone aibu kabisa! Maana kilichoongelewa na Mnyika ni yeye kuwa na uwezo wa kusema! Wengi wanaongelea chini chini kwa matusi makubwa kumtukana Raisi! Ni kweli ni dhaifu mno kwa mambo mengi! Hana power yoyote ktk utendaji wake! Kinyume cha power si dhaifu! Kila kitu...
  2. B

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Hivi ccm inatafuta nini jamani!Arumeru haijawapa fundisho tu! Arusha wasahau kufukuta huko! Labda waende lindi,hata huko watu wamefunguka macho! Hawatashinda arusha hata wahonge watu ndege! Wangeacha hizo pesa za kurudia uchaguzi zikajenge mahospitali na kulipa walimu mishahara jamani! Hii nchi...
  3. B

    From Mhimbili: 100,000 kila daktari wa kijeshi anaposaini, usafiri wa kurudi nyumbani nakuja ofisini

    nawe elewa somo!! anamaanisha fedha zinatumika vibaya sana na si katika mambo ya msingi. kwanini serilkali isifanye maamuzi mazuri ya kuwalipa vzr na kwa heshima watu wanaoshughulikia maisha yetu, na hasa kuwafanya wakae katika mazingira mazuri ili wafanye kazi yao kwa moyo wenye furaha!! lakini...
  4. B

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    lazima utakuwa haujatafakari tofauti iliyopo kipindi cha Mkapa na sasa. hata mtu ambae hajasoma ataona tofauti anaponunua chumvi au sukari!! anaponunua unga wa ugali au mahindi, anaponunua mchele au maharagwe nk! hapo ndipo utaona tofauti,huhitaji kwenda shule kuona kuwa kunatofauti kubwa sana...
  5. B

    Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

    acha kumshirikisha mungu kwa mambo yasiyo na mantiki kuwa na hofu hasa utajapo hilo jina Takatifu, Joshua ktabiri kuwa atakuwa raisi isikufanye ukaona ni mpango wa mungu. laiti kama ungefuatilia umjue Joshua wa Emanuel Chanel ni nani haswa usingethubutu kusema uliyosema. kama unampigia debe EL...
  6. B

    Dr Slaa ajibu upotoshaji wa Mwandishi Mayage dhidi ya CHADEMA

    umefanya vema sana kumweleza ukweli mayage! inabidi watanzania tuamke na kukazania maendeleo yetu zaidi na si kupinga tuu bila kufikiri!
  7. B

    CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

    wengi waliochangia kwa kuwaponda chedema na kumshangilia JK nimewashangaa sana tena sana, ni muhimu kutumia hekima kwa haya mambo yanayotuhusu na kutulenga kila mmoja wetu, hiyo sheria iliyopitishwa itatunyonya wote na kutukandamiza zaidi kiuchumi na tutabaki maskini kila siku! tena tutazidi...
  8. B

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    hayo makubaliano kwangu yanautata sana ukizingatia hakuna umakini hata kidogo kwa hii serikali ya sasa. hayo makubalianoyaliyotolewa yapo shallow sana, hayaonyeshi seriousness yoyote.Watanzania tuna safari ndefu sana sana kufikia yale tunayohitaji wananchi. Mungu atusaidie
  9. B

    NEC Dodoma, JK akana kumtuma Nape kumwita Lowassa gamba

    kwa kweli hapo ndipo naposhindwa kumwelewa kabisa Raisi wetu jamani! hapa tuna kichaka watanzania! inawezekanaje Raisi kitamka hadharani haijui Richmond wala chochote kuhusiana na Richmond, then leo anasutwa macho yanamtoka,kwakweli inauma sana na anahitaji kuachia madraka kwa kutokuwa mkweli...
Back
Top Bottom