Search results

  1. Eistein

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    kilimomaarifa.tajiri Heko sana kiongozi Hii shule unayotoa daah binafsi nakuelewa sana Mungu abariki kazi za mikono yako.
  2. Eistein

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    kilimomaarifa.tajiri Kaka mimi nakushukuru sana kwa elimu yako, nimefaidika sana uendelee na moyo huo huo.Mungu akuzidishie baraka. PDF yako ya kitunguu imekuwa msaada mkubwa kwangu, nakushukuru sana , ntaboresha kilimo changu cha vitunguu Ukimaliza na ya Nyanya nistue mkuu. Shukrani.
  3. Eistein

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    kama mtu anakataa kupata elimu unategema nini hapo???, 1. Watu hao waliokataa elimu ya bure hawana hata uwezo wa kupata milo 3 kwa siku 2. ....................hawana hata nyumba ya tofali 3. ............................................wanakufa kwa kukosa panadol...
  4. Eistein

    Watanzania tumerudia kuchagua watu wale wale walioleta shida tunazozililia kila siku

    hawa ndio watanzania 1. Zaidi ya miaka 20 wafugaji wamelia,ooh serikali haitujali haitutengei maeneo ya kulisha mifugo, mara serikali imesababisha mifugo yetu kufa kwa kuhamisha toka bonde la ihefu tumepelekwa lindi na mtwara, tumepoteza mifugo yetu....blaaah blaaah kibao... Leo tumechagua...
  5. Eistein

    Kumbe watanzania watu wa hovyo hivi!

    Watanzania ni maskini wa akili mpaka mawazo. Na huo ndio mtaji wa ccm
  6. Eistein

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    haya ndio nchi ya kidemokrasia hiyo ccm hoyee
  7. Eistein

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    No yale ya tume mkuuu ni unguja zanzibar yale siyo mtwara
  8. Eistein

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Lake zone hasa Mwanza wamepiga kura ya usukuma-ukabila, hili liko wazi kabisa
  9. Eistein

    Kinatafutwa chumba cha kupanga self contained njombe mjini

    wadau habari poleni kwa majukumu, kichwa cha habari cha husika, kinahitajika haraka sana chumba (self contained)-njombe mjini maeneo yasiwe mbali na mjini, maeneo kama ya nazaleti, au mji mwema yatafaa zaidi, au popote pale, ila iwe karibu na mjini, panapo fikika kwa urahisi, nyumba ikiwa na...
  10. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Kamanda good, nakushukuru sana kwa ushuhuda huu, tayari hapo njombe ni jimbo la chadema, tuendelee kuhamasisha watu wajiadikishe na wapige kura, naomba umoja huo uendelee, kabisa...mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko kwa maendneleo ya taifa........!!
  11. Eistein

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    Standalone KAMANDA UBARIKIWE SANA, UMEJITAHIDI KUTUPA LIVE COVERAGE KAMA VILE WOTE TULIKUWEPO UWANJANI, MUNGU AKUZIDISHIE MARA DUFU, NATUMAINI UMATI WOOTE HUO UKIJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA NA KULINDA KURA ZA UKAWA,,,,, BASI KUANZIA SA 10 JIONI TAREH 31 OKTOBA ZITAKUWA NI SHANGWE NCHI...
  12. Eistein

    Helkopta CHADEMA zaidi ya ruzuku, siku 14 ni billioni moja, kwanini dola isipande?

    Hawa jamaa wanakata roho kabisa, hawana la kufanya tena...kweli wamechoka kabisa.. Tukutane oktoba
  13. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    KAMANDA Rahim Ahmed CHADEMA NI TAASISI KUBWA INA WATU WAKO WELL SKILLED, PALE KUNA KILA AIANA YA ZANA , KILA MTUA ANAMAJUKUMU YAKE, SASA LAZIMA OPERATION ZIZIDI MASHAMBULIZI LAZIMA YAWE KILA KONA YA NCHI, KWA KWELI NASHINDWA KUELEWA AKILI ZA WATU WANAOLINGANISHA TAASISI LIKUBWAAAA KAMA...
  14. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    mkuu leo umeongea madini, sana hayo yote yako mezani mkuu yanafanyiwa kazi, si unaona sasa tuko vijijini, tuna vijana, tunawakina mama,Mdee next week anaanza ziara zake akiwalenga wamama, tuna RedBrigade, Mnyika, Prof Safari et al anamit na viongozi wa ngazi za chini kabisa..., kuwapa brash...
  15. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    POINT TAKEN MKUU, asante Cc. Ben Saanane, Tumaini Makene, John Mnyika, DR. Slaa, ebu lifike hili tulifanyie kazi, harambee moja zinapatikana hata milioni 400 kama ni kweli sheria I wazi tulifanyie kazi , ....[QUOTE=JokaKuu;12537937]..inawezekana sheria inaruhusu. ..nasema hivyo kwa kuzingatia...
  16. Eistein

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    Amina kamanda.....barikiwa sanaaa....
  17. Eistein

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    wenyeviti wa mitaa , vitongoji na vijiji sasa waamke, iwe ni mtaa kwa mtaaa, kijiji kwa kijiji watu wapate elimu huko.... Chama kinawatu hadi ngazi ya shina lazima mikutano ifanyike sana.. Watu wajue jukumu lao la kujiandikisha na kupiga kura...
  18. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    KABISA KABISA, SASA WALE WENYEVITI WA MITAAA WAHAKIKISHE WANAFANYA MIKUTANO NA WANACHI WAO KILA WKND, ILI KUTATUA MATATIZO YAO, THEN IFUATE KATA, KIJIJI PIA WAIGE HILO.... KAMA TUNA WATU KILA SEHEMU, NI VYEMA CHAMA KIKASAMBAAA KABISA CHINI HUKO...[QUOTE=Freeland;12537851]sasa hivi ni kitongoji...
  19. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    wazo la kuwa na media ya chama ni muhimu sana.... Kula like 1000 mkuu, lakini mkuu hivi sheria zetu zinaruhusu hilo kwa vyama vya siasa kumiliki rasmi media.. Yaani media hii iwe brand kabisa kwa chama fulani.. Karibu kama unafahamu chochote
  20. Eistein

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    vita ni vita muraaa.. Hatuwezi kuacha mchuzi eti kwa kukosa pilipili.... Chadema ni taasisi kubwa, first class mistake ni kulinganisha taasisi, na ka mradi ka mtu mmoja... Chadema mwendo mdundo... Mdeee tunamtaka jukwaani next weeek, peopleeeeeee........ Patrobasi katambi ajipange, naye next...
Back
Top Bottom