Search results

  1. O

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Tamisemi mfumo wa maombi za walimu haufanyi kazi kabsa. tunaomba msaada. hata ku-login ni tatizo INAONEKA KAMA ILIVYO HAPO CHINI; This site can’t be reached ajira.tamisemi.go.tz refused to connect. Search Google for ajira tamisemi go tz ERR_CONNECTION_REFUSED
  2. O

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Hapa ukweli ni kwamba, mh. Amesoma yeye lakini majina sio yake, mfano kama aliacha shule 1985 akiwa latano, maanake 1987, ndiyo wamemaliza lasaba, yeye anasema lasaba kamaliza 1993,. Hivyo either alikaa sana mtaani au alianza lakwanza 1987
  3. O

    KULIMBIKIZA VYEO: Rais Magufuli ateua mtu mmoja vyeo viwili na mikoa miwili tofauti

    Sidhani kama ni makosa itakuwa ni makusudikacally
  4. O

    Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

    The world is not fair for sure mke na shamba boy, ambao wananufaika na ujira wa huyu bwana,. Masikini na alikuwa anaenda India kwa matibabu
  5. O

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    jf is the best ever, thank you great thinker. God bless you all
  6. O

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Aibu Sana kwa chombo cha umma alfu ndiyo inayopotosha umma
  7. O

    Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

    Ni habari mbaya Sana,.
  8. O

    Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Hata mkishikamana haisaidii kitu
  9. O

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Jamaa kazingua Sana, Jana kashindwa kujieleza kbsa,.
  10. O

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Jamani Mimi nilifkiri ni kingamusi changu ndiyo Ina shida kumbe ni hujuma
  11. O

    Wabunge 80 aliosema Lowassa wako wapi?

    Mafuriko hayaanzi tituta, ni baada ya mvua kupiga weeee, saiv hata mvua bado ni manyunyu tu
  12. O

    Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

    Hao waliobaku sisiem ndiyo watatusaidia kuwang'oa kirahisi
  13. O

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Wazee wafanye busara wakamchukue rose kamili aje aishi na mzee aachane na huyu Jose,
  14. O

    Uongo, Upotoshaji dhidi ya Dr.Slaa na Mnyika - Wafuatao wapuuzwe...

    Dr. Kuendelea kutulia hivi amekosa hekima. Mwanasiasa lazima aweflexble, maamuzi ya wengi ingezingatiwa. Sasa Kama yeye amejiangalia mwenyewe sio vizuri
Back
Top Bottom