Search results

  1. päiva

    Naomba kujuzwa kuhusu magari yanayouzwa na Jan Japan Tanzania

    Habari za jioni. Naomba kujuzwa kuhusu magari yanayouzwa Na Jan Japan kwenye show rooms zao hapa Tanzania. Je ni waaminifu? Kwa maana hawacheezei speedometer au kubadilisha vifaa by magari? Nawasilisha
  2. päiva

    Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Ananiambia yeye Ni sales manager [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. päiva

    Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Nilisha mshtukia kitambo
  4. päiva

    Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Mmoja kunitumia hiyo email haseemkhan41@gmail.com
  5. päiva

    Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Habari Ndugu Je Kuna MTU alishawahi kuagiza Gari toka Kwa Hawa wanaojiita maajenti wa Beforward, lakini wengi wao ni watu toka Pakistan? Je waaminifu ? au matapeli tu?
  6. päiva

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Bei ya gearbox ya Nissan Xtrail NT 31 ya 2008 ikoje?
  7. päiva

    Taa ya ABS na VDC au SLIP LIGHT

    Hizo taa zinazimwa na mashine. Upate fundi mwenye mashine nzuri anazima bila shida. Ni kawaida Kwa Nissan X-Trail new model, ukifungua miguu zinawaka.
  8. päiva

    TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

    Mwampaja hatunaye pia. Ni mwezi Sasa tangu ametutoka
  9. päiva

    Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Huna maana kabisa..,..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. päiva

    Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Niko Kigoma naombeni connection za pisi Kali....
  11. päiva

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Habari mkuu, Natafuta shockup za mbele na nyuma pamoja na spring zake za Toyota Spacio old model. Bei ikoje?
  12. päiva

    Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

    Ni suala la uamuzi tu. Usiogope
  13. päiva

    Nataka nirudi shule kwa ajili ya PhD mwaka huu

    Kwa UDSM ili umalize PhD ni lazima uwe na paper angalau moja ambayo ni peer reviewed
  14. päiva

    Happy Birthday Shunie......!!!!

    Happy birthday rafiki yake Sakayo, kwa jina waitwa Shunie. Mungu akupe miaka mingi na afya njema. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. päiva

    Nissan X-Trail

    Asante Boeing 747, Gari nimepeleka kwa fundi juzi na jana. wheel bearings ziko vizuri, sina hakika kama walingalia engine and gear box mounts. Pia tairi za gari zote hazijavimba. ila leo nitapelela kwa ajili ya wheel balancing. nitaleta mrejesho.
  16. päiva

    Nissan X-Trail

    Habari wadau, nina Nissan xtrail ya mwaka 2008. Ikifika speed kati ya 40 na 60 gari inavuma sana na kuanza kutetemeka. Ila nikivuka hadi 80 mvumo unapungua kidogo. Je tatizo laweza kuwa nini?
Back
Top Bottom