Search results

  1. U

    Waraka wa Kibanda kabla ya kufikishwa mahakamani

    Alipokuwa anaongea na wale anaowaita wazee wa Dar alikuwa muwazi kwamba atakuwa dikteta,haya ni matokeo ya alichokisema na bado tujiandae kuona na kusikia mengi,uswahili na uongozi haviendani jamani
  2. U

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Siasa za kujuana na kupeana ugali,kazi kweli kweli.
  3. U

    Absalom Kibanda akamatwa!

    Hizi ni kelele za mfamaji,wataweza kuwakamata watanzania wote.Waache kuwajengea raia hofu.
  4. U

    Kardinali Pengo: Nimepewa siku nne tu kuwakilisha maoni kuhusu katiba mpya kimaandishi!

    Kwa mtindo huu tujiandae vizuri kwani serikali hii bado ina utaratibu wa muda mrefu wa kuchekesha raia wake.
  5. U

    CCM yatoa tamko kupanda kwa posho za vikao kwa wabunge

    Hii inaleta kichefuchefu,serikali gani haifanyi kazi pamoja,kila mmoja anakurupuka na lake.Waache kutuchanganya sisi wananchi,utawala uliyogawanyika hauwezi kudumu,wanatufanya kuwa matambara ya kufutia miguu yao
  6. U

    Mkapa ainanga serikali ya Kikwete

    Serikali matonya kiasi hiki haiwezi kuwa na ubunifu wowote zaidi ya kubadilisha namna na mtindo wa kuwa matonya zaidi.
  7. U

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Hawa tumewachagua ili watusaidie lakini wamehamua kwa makusudi kabisa kujaza MATUMBO yao na ya FAMILIA zao.
  8. U

    Jubilee ya miaka 50 ya mh. Freeman aikael Mbowe

    Kamanda Mbowe hongera sana.Uwezo wako wa kujenga hoja ninaukubali,ujasiri wako unatisha.Umesema mara nyingi sana tusikubali kujenga taifa la watu waoga na waliojaa hofu.Mungu akupe miaka mingi na nguvu za kuongoza chama chetu.
  9. U

    MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima...

    Napinga unafiki wa hawa CUF,wamepitisha bungeni halafu sasa wanatoa maoni.Waache siasa uchwara na za majitaka.
  10. U

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Hongera sana dada Halima,tunashukuru kwa kazi nzuri ya kuwatumikia watu wako.
  11. U

    Asemavyo Mkapa Kupitia BBC

    Huyu ni mchumia tumbo,hafahamu kuwa dunia ya leo haihitaji siasa uchwara na za kibabe.Asamehewe kwasababu ya umri wake.
  12. U

    Daudi Mwakawago afariki Dunia

    Apumzike kwa amani,poleni wanafamilia.
Back
Top Bottom