Search results

  1. M

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    bado hoja ya serekali tatu imekaa kisiasa zaidi. haina msingi na hoja madhubutu. inaonekana kujengwa kishabiki zaidi. angalieni uhalisia wa hali ya nchi yetu alaf ndo mfikirie kuleta serekali ya 3. 2 zinatushinda io yatatu itatuzika kabisa. nasisitiza uzalendo na umakini na nchi yetu. serekali...
  2. M

    Je, Jumatatu ni Public holiday?

    nilipata habari zisizokua rasmi kwamba j3 ni public holiday, naomba kufahamishwa kwa taarifa za uhakuka juu ya hili.
  3. M

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Hio ya serekali tatu ni hoja ya kisiasa ambayo haina msingi wowote. Ni hoja ambayo haiangalii ugumu wa maisha ya Tanzania. Ningewaona wa maana sana kama mngefikiria kuvunja serekali moja ibaki moja ili izo gharama za kuendesha serekali ya pili zielekezwe ktk maendeleo ya mtanzania. Acheni siasa...
  4. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Tatizo lenu wachangiaji wote mnaochangia mada hii mnazungumza kishabik zaid. Suala la mahakama ya kadh ni suala la waislam, na ilivo kwa mujib wa sheria za kiislam ni lazima iwekwe na dola. Hii ni dini, ni sheria za mwenyezi mungu ambae ana mjua mwanadam vizuri kuliko tunavojifaham sisi, sio...
  5. M

    Eti vazi la kutokea

    Hana kitu hapoo
  6. M

    Gaddafi's Female Super Guard

    Duuh!!!
  7. M

    Polisi anapopagawishwa mpaka kusahau kazi

    sasa hapo uyo dada anataka kutobolewa hapo hapo hadharani au!! HAPA NDO DUNIA YETU ILIPOFIKIA SASA, WALA WATU HAWAONI AJAB JAMBO ILI
  8. M

    Kuashiria nini hapa???

    izi ndo faida za kuwekeana vitu kinyume na maumbile (UKAMEROON), mpaka joint zinavunnjika m2 anashindwa hata kujizuia haja inapomfika. so, tafakari na uchukue hatua sahihi. zingatieni.
  9. M

    Hivi Kuna Siri Gani Hapa Jamani?

    Tax Evasion an tax avoidance concepts applies
Back
Top Bottom