Search results

  1. collycool

    Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

    Mbona yupo anapost kila siku na jana kampost bff wake
  2. collycool

    Ukiona Yanga wanakimbilia kusaidia yatima ujue gemu yao imewakalia vibaya

    Kwani kuna mkoa yanga hawajafanya hiki walichofanya Dodoma, na je huko kote mechi zao zilikuwa zimewakalia vibaya?
  3. collycool

    Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

    Na penati 5 kati ya 7 walizopata wamekosa, kwa kweli mwaka huu makolo ni fungu la kukosa
  4. collycool

    Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Punguza makasiriko KMC wamezunguka mpaka Tabora huko hakuna malalamiko ila Yanga sasa mapovu kama yote
  5. collycool

    Kwa msioelewa movie ya Binti, someni hapa

    Kwa kweli filamu ipo kama documentary story zake haziishi, kwa mfano story ya binti wa kwanza story yake imeishia hapo alipokutana na rafiki yake haieleweki kama alifanikiwa ndoto zake au vipi. Na hata hao mabinti wengine ni hivyo hivyo na pia mi nimeona ni mpangilio mbovu kuangalia kisa kimoja...
  6. collycool

    Yuko wapi wa kuvaa viatu vya Ruge?

    Umezunguka zunguka kujifanya unamsifia Ruge lakini nia yako ulitaka kuzungumzia Harmonize na Diamond ungeenda tu direct. Mbona Diamond alishalalamika sana kuhusu Ruge na watu wakamshambulia Ruge, leo akisema Harmonize mnaleta mabandiko yenu... Kitu kingine Harmonize hajakataa kusaidiwa...
  7. collycool

    TFF wanaipendelea Simba SC, ukweli huu hapa

    Ooooh kumbe kuahirishwa mechi na yanga ni mipango ya nchi sasa mbona hamjawaambia mbumbumbu wenzenu wakiongozwa na yule msemaji mbwatukaji wanakaa wanabwatuka kama mbwa koko waliokosa matunzo
  8. collycool

    Tuseme ukweli kuhusu Yanga na TFF

    Sasa mbona kila siku mathread kibao yote yaanzishwa na masimba yasiyojielewa, kwani aliyesema yanga na tff wana mgogoro ni nani kwanini msimuulize yeye awaeleze vizuri kuhusu huo mgogoro
  9. collycool

    Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

    Aisee mbona maneno makali sana.
  10. collycool

    Kumbe Vannesa Mdee ni Kipofu/Haoni

    Wee nae mbona kama umekurupuka, umesikiliza mwenyewe alichosema au umehadithiwa Amesema alipata tatizo mwaka 2015 lilipelekea upofu kwa jicho lake moja kwa hiyo jicho moja ndio halioni, hizo habari za tangia mtoto umezitoa wapi
  11. collycool

    RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    Mi naona ni sawa tu, maana hawa wasafi wameshawahi kufungiwa wasafi tour kwa makosa haya haya ya kijinga baadae wakasamehewa, juzi tu hapa wametoka kufungiwa redio na hata kuhusu hilo la Gigy money nasikia sijui kahama alipanda na chupi jukwaani wakapewa onyo bado hawakutaka kujifunza na ndo...
  12. collycool

    Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

    Huyo baba wa rafiki yako mkarimu sana, milo 3??? si ajabu hata yeye mwenyewe hali milo 3 nyumbani
  13. collycool

    Magwiji wa kuwafikisha wanawake kileleni

    Umenena mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. collycool

    Kwanini wenye uwezo kifedha huwa hawakai Bar muda mrefu?

    Nyumbani kuna mazingira mazuri, garden yenye kuvutia na utulivu wa kutosha isitoshe kuna min bar counter iliyosheheni vinywaji vya kila aina tajiri akae huko bar na makelele anafanya nini sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. collycool

    Naomba jibu la swali hili wadau

    45 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. collycool

    Mwanamke aliye tayari kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea kupata mtoto

    Vigezo vyote ninavyo na vya ziada njoo tuongee Sent using Jamii Forums mobile app
  17. collycool

    Ya msanii Mabeste na mkewe hutokea pale mwanamke anapomzidi akili mumewe

    Hakuna cha akili wala nini mwanamke kupangalia maneno ndo akili halafu mabeste wala hakutaka kueleza juu ya maisha yao ila alieleza kwanini ndoa yao ilivunjika kwa sababu watu wengi walivutiwa na ndoa yao na pia walitaka kujua nini kiliwasibu, huyo mwanamke kuona kaumbuka kutoka na rafiki wa...
  18. collycool

    Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

    Hahahaha sasa utajijuaje kuwa huna akili Sent using Jamii Forums mobile app
  19. collycool

    Flora Mbutananga spates na mkasa wa kuibiwa Christmas 2019 kisa ahadi ya engagement

    Daah!! Nimemuonea huruma maskini na kukaa kote ulaya anakuja kuibiwa kizembe namna na bongo movie, wanawake wenzie wamemuingiza mjini mwenzao kwa kweli hii ndo bongo Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
  20. collycool

    Naona jinsi ambavyo nguvu kubwa inatumika ili kumshusha tena Diamond

    Kwa hiyo ulitaka harmonize, efm na clouds wakae chini wamuangalie huyo domo na wasafi wanafanya nini, maana kila wanachofanya wanataka kumshusha domo, watu wasifanye yao kisa chai jaba hebu tulia huu mchezo hauhitaji hasira
Back
Top Bottom