Kuheshimiana unakotaka wewe ni kupi? Manake wengine vichwa vyenu ka vimejaa maji vile. Kuwambia kuwa mmezidi kula rushwa na mumafisadi ni kukosa heshima. Mutatufunga sana lakini mwisho wa yote kabuli letu wote si udongo tu. Wako wapi walio wakali sana unawowajuwa wewe? Raha mnazo zinunuwa kwa...
Kwani polisi siku hizi ofisi zao ziko barabarani? Manake watu walikuwa ofisini kwao kwenye shughuli zao za kisiasa na kijamii. Heri mwenye tabia za kihaya (na ni zipi hizo?). kuliko kukosa akili kama m--vu wewe mwenye akili nyingi zisizo na kazi.
Kuna mtu mchangiaji amenifurahisha kidogo. Anadai siku jamaa atapoacha urahisi wake isherehekewe kitaifa. Mimi naongezea atafutiwe kiwanja lushoto harafu tumuuwekee geti pale mombo akae huko na fisadi mwenzie aliyemuacha astaafu salama pamoja na mabaya yote alotufanyia ya kuuza nchi.
Mheshimiwa JJ. Kwa mtu yoyote aliyeenda shule, hawezi akaweka ulizo kwenye narrative yako hii uliyoitoa hapa JF.
Kwanza napenda kukupongeza kwa uwezo wako wa kujieleza na kueleweka ktk kiswahili fasaha, kama ulivyozibitisha ktk muda wako wote kama Mbunge wetu wa ubungo. Na kwa kweli...
Nyerere alikusahau kivipi wakati mtu wa kwanza akiwa waziri kutandikwa viboko idadi fulani wakati anaingia jela na idadi nyingine wakati anatoka akamuonyeshe mkewe alikuwa anatoka Tabora?
Huna lolote. Wewe ni kati ya wale mnaolipwa shillingi kutwa ili mbwabwaje habari za chama chenu kilichokwisha nuka. Kwani nchi hii ubungo tu ndo hatuna maji. Umesahau kuwa maji ni kilio cha nchi nzima. Hayo malori ya maji unayoyataka si ukawaulize mafisadi wa escrow, au angalau ikulu basi.kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.