Search results

  1. S

    Thobias Andengenye atangaza ofa ya Tsh 5mln kwa yeyote yule atakayetoa taarifa hii!

    kumbe tena ni hawa police wa a town, waliouwa ndugu zetu w3 wakati ule wa maandamano ya amani? iko wapi ile intelejensia ya kubaini uwepo wa huyo jambazi/ mhalifu ama kazi yao ni kubaini mambo yahusuyo amani tu hasa linapokuja suala la maandamano yenye kuleta mustakabali wa nchi ambapo pia hata...
  2. S

    Tanzania yagoma kutia saini sera ya ardhi EAC

    naunga mkono kwa dhati maamuzi ya serikali ya tz kwa msimamo wao huo, kwa kutolifanya suala la ardhi kuwa sehemu ya muungano wa shirikisho hilo.:poa
  3. S

    Picha za maajabu saba mapya ya dunia

    Hi wanajamiiforum photo, mwenye picha za maajabu saba ya dunia, tafadhali aiweke kwenye forum hii.
Back
Top Bottom