Search results

  1. S

    Ushahuri wa bure kwa wamiliki wa Clouds na Mh. Sugu

    kukaa chini na kumaliza tofauti kwa majadiliano ni njia bora kabisa iwapo pande zote husika zitakua na dhamira ya dhati kufikia muafaka,huku pande zote zikiheshimiana kama wadau walio na haki sawa.Tatizo upande wa Clouds Fm unaamini ni superior zaidi na unaweza kuathiri maamuzi ya kimfumo na kwa...
  2. S

    Free Media na mkono wa Lowassa

    nadhani hoja yako ingekua na nguvu kama ungeainisha ni kwa namna gani taarifa hiyo sio sahihi,na uthibitisho walau wa kimazingira wa jinsii mwandishi au mhariri anavyoweza kuwa amenunuliwa na mh Lowasa ili aandike habari hiyo.kama una vielelezo zaid weka jamvini ili kuipa nguvu hoja,vinginevyo...
  3. S

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    maneno hayo yanatumika kisanii kama ilivyotumika kaulimbiu ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya, vijana na wanawake watawezeshwa n.k ktk kampeni za 2005.huhitaji PhD kung'amua kwamba kwa mazingira ya CCM hii,kauli hiyo haina mashiko.
Back
Top Bottom