Search results

  1. S

    Madaktari wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, wamefanikiwa kutoa kipande cha chuma kilichokuwa ndani mwili wa Lissu

    A big Aaaamen comrade,I'm blessed by this Psalm verses you put for Commander TAL.
  2. S

    Mangula, Nape kukinukisha Songea Mjini kwenye kampeni za uchaguzi mdogo

    Unajua maana ya neno KUKINUKISHA au umeamua tu kujifurahisha...yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe. Wanakunukisha kwenye hamna?wamtangaze tu mtu wao yaishe.
  3. S

    Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

    Just the way you are. And I doubt if you'll ever recover from your sickness because it has been such a long time you think this way.
  4. S

    Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

    Akafungue kesi kwanini imefungwa? Tulieni mtaona impact ya press yake ya leo.
  5. S

    Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Mambo kama hay ndo yanaturudisha nyuma watanzania. Woga usio na maana. Ruge has nothing to loose,umeshafungwa mda woote huo. Halafu bado unapata kugugumizi kutaja majina hadharani?
  6. S

    RPC Gilles Moroto: Tunasikitishwa na dereva wa Tundu Lissu kutoonyesha ushirikiano kwa jeshi hadi sasa

    Sasa hapa nipolisi unapokuja kulalama hapa? Kama unahisi wanapaswa kuishtakiwa wahi polisi kwa DPP au mahakamani. Au umekuja kupima upepo kuona mawazo ya Nzengo? Hapa ni vyombo huru vya nje viahitajika mengine yote porojo tu.
  7. S

    Lord Mayor Dsm aongoza watanzania misa ya kumuombea Tundu Lissu jijini Nairobi

    Nimeipenda sana hii ya maombi Nairobi, unawasubiria uwatwange huku, ngoma inachezwa Nairobi. uzuri maombi Mungu huyajibu popote hata kama ni chooni ilimradi umeomba kwa IMANI Mungu anajibu. It shall be well with Hn Lissu.
  8. S

    Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

    Mkuu Barafu Mungu akubariki sana. umenigusa. Live log sir/mam
  9. S

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe.John Heche hali yake sio nzuri, apandishwa ndege kuwahishwa Muhimbili

    May JEHOVAH RAFA heal him so quickly in Jesus Mighty name
  10. S

    Godbless Lema: Tunamtaka Makonda atuambie yuko wapi kamanda Ben-Rabiu Saanane

    Tumekuelewa Mrs. Bashite endelea kutetea ndoa isivunjike, ingawa ukweli unaujua....! Pathetic
  11. S

    Mbowe na Halima Mdee, Wafichua walichohojiwa kwa Masaa Mawili na kamati ya Maadili

    Mkuu kama sikosei wewe ni Mke wa Bashashite ama mchepuko wake. Haiwezekani kila uzi wewe lazima umtaje hata kama haumuhusu mmeo huyo!
  12. S

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Nimeshtushwa kwa kupotea Roma na wenzake

    Katika awamu hii ya tano mpaka kufikia 2025, watapotea watanzania wengi sana bila kuonekana tena wala kutolewa maelezo ya kutosha, minus me & my entire family in The Name of My Lord Jesus Christ of Nazareth!
  13. S

    CHADEMA tunalaani kauli za UDINI za Spika Ubunge EALA

    Chuki mnayoionesha kwa Kamanda Masha ni kwa sababu kakitelekeza chama chenu. I confidently declare that Lawrence Masha is a great potential to this Nation, only Bashike kind of people like you don't see this
  14. S

    CHADEMA tunalaani kauli za UDINI za Spika Ubunge EALA

    Huna mantiki wewe bora ungekaa kimya. Kupitisha mgombea wa CUF asiye mwanachama ndiyo sawa lakini CDM kuleta wagombea wawili kwenu ni haramu? Seriously? Mnatia aibu sana wanaccm
  15. S

    CHADEMA tunalaani kauli za UDINI za Spika Ubunge EALA

    Leo hii ndo mnaona CDM wana watu wengi wenye uwezo kisa tu mnahofia Makamanda Masha na Wenje wakienda EALA watawafunika wa chama chenu? Plz be serious a little bit.
  16. S

    Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

    Laki si pesa kuishauri CDM ni sawa na shetani kumshauri Mungu. Kama anafaa sana basi Lumumba mpeni nafasi, halafu naomba unifafanulie maana ya neno MAKAPI, pengine sijaijua vyema, KAPI WEWE!
  17. S

    Makapi ya CCM yatawala CHADEMA

    Slaa aliondolewa CDM na "MCHUMBA" mkuu siyo mwenyewe, maana haiingii akilini amkubali Lowasa halafu ghafla asuse.
  18. S

    Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

    Your English is too shallow sir, It's Bashite kind of english, may you go for a refresher course plz?
  19. S

    Henry Kilewo: Sijawahi kuchukua fomu ya kuomba nafasi ya Ubunge wa Africa Mashariki ndani ya Chama

    Wewe ulikuwa mfukoni kwake ukayaona hayo majina! Ama story za vijiwe vya kahawa na kashata kama kawaida yenu.
  20. S

    Mtifuano wa CHADEMA vs ACT ubunge wa EALA, Lissu awaambia ACT wasitumiwe na CCM

    Zitto bado hajapona kale kaugonjwa kake ka ccmforbia kumbe? Basi atakuwa carrier.... na ameshamuambukiza Prof Kitila
Back
Top Bottom