Search results

  1. M

    Hotuba ya Mh. Mbowe kwenye Mkutano Mkuu wa NCCR itufungue macho

    Sasa hapo king'amuzi kinahusikaje ktk hoja iliyoko mezani? Watu wengine bhana funk tuuuu!!!!
  2. M

    Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

    Ningekuwa mmoja wa hawa wanasayansi ningeshughulika na mdomo wa mtu aliyemtangazia Kikwete ushindi.
  3. M

    Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

    Nadhani hata mshirika wake ¨Lolesia Bukwimba? sijawahi msikia katika hili bunge.
  4. M

    Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

    Hukusikia taarifa ya wauza madawa aliyokuwa aitoe siku hiyo anakufa??!!!
  5. M

    Uhusiano wa JK na Lowassa ulivyo hivi sasa!

    Mbona Pinda mwenyewe kasema Urais ni mzigo na hivyo hana plan ya kugombea??"!!
  6. M

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    Kama kawaida yao serikali kudeal na mmoja kisha wengine wanyamaze, si mnamkumbuka mkulu alivyomshambulia Mgaya ikawa ndo basi mgomo wa wafanyakazi?? ama kweli iliandikwa ¨Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika¨.
  7. M

    Habari wana JF

    Hapana ndugu yangu, hata kwenye siasa tunakaribishana. Karibu ndugu yetu Gwankaja
  8. M

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    CDM sio dampo banaaaa!!! Akaugulie maumivu kwanza.
  9. M

    Kwa wanachadema tu!

    Bila kusahau Zanzibar maana nashawishika kwa sehemu kuwa at least huku Tanganyika elimu inaendelea kuongezeka ila huko visiwani bado sana.
  10. M

    Kauli tata za Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi hizi hapa

    ....za mbayuwayu nawe changanya na zako
Back
Top Bottom