Search results

  1. B

    Naibu Waziri wa Mambo ya ndani asitisha Uraia wa Warundi 162,000

    Amesimamisha zoezi la utoaji uraia(baadhi walishapatiwa) ili kupata maoni ya wanaodaiwa kuwa wadau ambao inatamkwa kuwa hawakushirikishwa ktk mchakato huo.Hata hvyo kama wewe ni mmoja wao au jamaa yako yumo,usiwe na hofu kabisa.Makambi yote ya wakimbizi yalishafungwa(mwezi wa nane tumefunga...
  2. B

    Tulifanya kosa kumpa urais Mkapa

    Nadhani sehemu kubwa ya watanzania tuna matatizo makubwa sana! No wonder hadi leo yaani miaka 50 baada ya uhuru bado tunamlaumu mkoloni kwa kutufikisha hapa tulipo, haya Mkoloni akaondoka akaja Mwalimu J.K.Nyerere nae ameendelea kulaumiwa na baadhi ya watu; Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa mkawaungisha...
  3. B

    Sakata la mgomo wa madaktari kuna shinikizo la kisiasa-wasomi

    Kuna matatizo kadhaa katika hili janga la mgomo wa madr! Kuna wanajamvi wanashabikia ili hali wakijua kwamba serikali (kwa maana ya viongozi wanaozozana nao hawaathiriki), wanaojiita wanaharakati pia wanashadadia mgomo sielewi huruma yao ni kwa nani ( wananchi wanaokufa au Drs)! Kwa mtazamo...
  4. B

    Kamati za bunge na maamuzi ya kwenye TV na magazeti

    Suala lililopo hapa ni kwamba hizi kamati hufanya kazi kwa ushabiki uliopindukia ndo maana madai yao yote huishia kwenye Tv! Binafsi sina kumbukumbu sahihi ni nani walishamtuhumu Live kisha hatua zikachukuliwa. Hata hili la Bwana Ekelege hata siamini.
  5. B

    Sheria ya ajira na mahusiano mahala pa kazi bunge pitieni hii sheria inampa mwajiri mwanya mkubwa

    Haujaeleweka mkuu ni kipengele kipi hicho? Anachomaanisha mdau ni kwamba ukifukuzwa kazi ukaenda mahakama ya kazi kwa hatua zake zote na mahakama hiyo ikajiridhisha kwamba huna kosa au kosa lako halistahili adhabu uliyopewa na hatimae kuamuru urejeshwe kazini, muajiri wako ana mamlaka...
  6. B

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Jambo mislotaka kuelewa ni kwamba Katibu Mkuu ni Administrator (Hatibu wagonjwa pale wizarani) sasa mnataka mtu proffessional wa kazi gani? Namuunga mkono 100% Mama Blandina Nyoni haiwezekani Serikali iagizwe nini cha kufanya na hao madaktari. Ni lazima waitii serikali iliyopo mamlakani not...
  7. B

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Ni kweli kwamba uwaziri ni political post na haina sababu kwa waziri kuwa mtaalamu wa wizara husika hilo hatuna tatizo nalo! tatizo letu ni hizi elimu za kuunga unga, kwa mfano huyu mheshimiwa aliwahi kuwa mwalimu sijui kasomea wapi au kila anaweza kuwa mwalimu? baadae akawa administration...
  8. B

    Simon Group Wanyang'anywa U.D.A

    Mh! Kwani ilipouzwa mwanzo baraza la madiwani halikukaa? eti kuwanyang'anya ni rahisi namna hiyo hata kisheria?
  9. B

    UDSM kuwafukuza wanafunzi wake, Mkandala afafanua

    Mi nadhani Wa - TZ hasa wanaojiita wasomi wabadilike, ukitazama tangu mwanzo sababu iliyowafanya wagome haikuwa ya msingi, fedha hakuna, serikali imekopa huko duniani mpaka muda huu tunatukanwa hovyo hovyo, rejea matusi ya Ehud Barak wa Israel, David Cameron wa Uingereza na hata ripoti za...
  10. B

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Jamani! kwani tatizo liko wapi, suala la kujua elimu ya kiongozi wetu si ni kawaida kama alisoma UDSM hakuna hata mwana JF mmoja aliesoma na huyu mheshimiwa aseme? Kama ameongopa tumsulubishe tu kwani ye nani? Hebu tazama tunavyomsulubu mkuu wa kaya!!!!!
  11. B

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    Japo kuwa mie si mzuri sana katiika siasa ila taarifa hii imekaa katika sura ya kujitafutia ujiko zaidi kuliko kuonesha tangible results, kwa mfano M/kiti wa CCM anaweza kusema serikali imejitahidi kwa hali na mali kuwasaidia waathirika wa mafuriko Dsm ili waweze kurejea katika hali yao ya...
  12. B

    Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema muumba mbingu na nchi mjaalie huyu mtumishi wako upeo mpana wa kuelewa mambo yake binafsi, familia yake, jamii inayomzunguka na taifa kwa ujumla. Yaani sijawahi kufikiria kwamba ktk jamii forum kuna watu wana uelewa mdogo kiasi hiki sidhani kama ubongo wa mleta...
  13. B

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    Ni kweli jamaa anajua ku - push kazi na matokeo yake huwa yanaonekana mara kibao ila tatizo lake ana External Locus of Control nikimaanisha kwamba yaani siku zote ukimsikiliza yeye HANAGA kosa! Wanaokosea ni wengine tu na hufikia hatua ya kuwadhalilisha watendaji walio chini yake hata kwa sababu...
  14. B

    Mzee wa Upako ampinga Prof. Shivji suala la Muswada Katiba Mpya

    Nilipokuwa nasoma chuo kikuu walinifundisha kuwa kila taasisi in MISSION yake inayoelezea pamoja na mambo mengine kwanini taasisi fulani ipo hai (kwa maana ya madhumuni yake). Swali langu ni hivi hawa watu wanaosomeshwa mambo ya dini huwa hawafundishwi kwa nini kuna dini na wanatakiwa wajikite...
  15. B

    ST John na umombo "kanumba" - "Temporary Closer" au "Temporary Closure" ?

    Hamna Human Error hapo ni Upuuzi mtupu! Kama mi ndo Mkuu wa chuo mpaka usawa huu huyu jamaa hana Kazi kwa aibu hii kwa chuo cha mtakatifu Yohana.
  16. B

    ST John na umombo "kanumba" - "Temporary Closer" au "Temporary Closure" ?

    Asubuhi hii nimesoma hilo Tangazo la St. John University nimeshtushwa sana na ki - english chao, japo mimi nimesoma St. Kayumba mwanzo mwisho ila kwa hili tena kwa chuo kikuu ni aibu tupu! Ningeshauri usome zile paragraph mbili za ufunguzi halafu uniambie kama uongozi wa chuo unaweza kutoa...
  17. B

    Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

    Ha haa haa! Guys you are very funny! Hivi lengo la mtoa mada ilikuwa tumjadili Mh. huyu (personality yake) au tufanye upembuzi yakinifu kwa maneno aliyoyasema. Mi binafsi naona maneno aliyoyasema yana Mashiko kwa sababu siku za karibuni kumezuka wimbi la viongozi wa dini (Nikimaanisha wakristo...
  18. B

    Zitto, Kafulila, Kitila Mkumbo, Hussein Bashe na akina Ben Saanane waweza Kuanzisha chama kingine?

    "sasa hapo wafuasi wake si watu wa kuonewa huruma kwa kweli??? yaani kuna watu wanafikia mpaka kushauri Lema agombee urais mwaka 2015... hii nchi ina vituko vipya kila siku" Tunaongelea uhuru wa kutoa maoni kwa kila mtu hata Tanzania, yeye katoa maoni yake, kaunga mkono uamuzi wa NCCR - M kwa...
  19. B

    Kwanini Watanzania walio ughaibuni wanafanya vizuri?

    Sijaelewa Swali, Wanafanya vizuri kwenye kitu gani? Labda utupe na mfano wa kilichofanywa vizuri na watanzania huko ughaibuni ndo tuchangie mada. If you are being told what to do, how to do it and when to do it tena under absolute supervision huwezi kuthubutu kusema unafanya vizuri kama akili...
  20. B

    Siri ya kufukuzwa Wanachuo nje

    Home of Great Thinkers! Ur too biased dear friends, why dont you look things impartially. Wanafunzi hao walistahili adhabu waliyoipata na bado ile ya mahakama ya kuharibu mali za chuo kwa makusudi. Uchunguzi ukikamilika na wale wa Muhimbili nao chali, haiwezekani daktari afanye fujo tena kwa...
Back
Top Bottom