Search results

  1. J

    Hundreds of new members continue to join CHADEMA

    Ninajiona Mwenye Bahati sana, na Baraka kwani kazi nzuri niliyoanzisha, ninaona matunda makubwa katika ukombozi wa Taifa langu la Tanzania. Kwanini watanzania waaminishwe eti, "CCM ni Mama Yao na Baba Yao"? CCM ya sasa si lolote, wala si chochote bali ni genge la wahuni wachache wanaopigana...
  2. J

    Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

    Jamani, ninaomba muelewe kwa makini kuwa, "Kinachomfanya Nape Nnauye Ale, Avae, Alale, ni maneno ya mdomo wake na mara nyingi maneno ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini ila akishatumwa aseme hivyo, hana budi ya kutekeleza". Muoneeni huruma kijana mwenzetu! Siku moja ataokoka na atajivua...
Back
Top Bottom