Kwi kwi kwi,
yaani sasa umeanza flooding, unaweka kila thread. Au unatafuta sababu ya kufungiwa kwa flooding kisha uanze malalamiko? Ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku. Unatia huruma sasa na hii obsession yako na Mbowe.
Ngoja nikupe break kidogo sasa maana umeanza kuonyesha frustrutions...
Ninakuwekea tena hii habari ya udini ndani ya ccm ili uisome vizuri na ukimaliza urudi kuendeleza udaku:
1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti - Muslim
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) -
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar) - Muslim
4...
ha ha ha ha.
mafisadi wa ccm mtapata magonjwa ya moyo mwaka huu.
mkuki kwa nguruwe, mliita CUF chama cha kidini mkadhani hakuna mtu anayejua siri ya udini ulivyojaa ccm. Hapa mama mmepatikana, mtabanwa mbavu kwenye mambo ya EPA na buzwagi, na mkileta mambo ya udini na ukabila, mtaanikwa tu...
Ha ha ha , ulikimbilia kuja kujadili habari unazoita udaku bila kujua kuwa hilo linakufanya wewe kuwa mdaku vilevile. Ha ha ha, ndege anayedhani kuwa ni mjanja amenaswa kiulaini kwenye mtego wake mwenyewe.
Point well taken!
Hili suala la udini ccm ndio mwanzo limeanza kuanikwa hapa JF na baadaye litaanza kuenezwa kwa watanzania wote ili wajue kinachoendelea huko ccm.
Ukitaka kulipuuzia, hiyo ni juu yako.
ha ha ha, mtafuta facts kwenye habari ambayo anaiita ya udaku, ha ha ha, naona umejianika bila kutegemea. Ndio tatizo la kudhani unajua kila kitu kumbe hakuna kitu. Ha ha ha
Kama hufikirii mambo ya udaku, unafanya nini kwenye thread ambayo umeiita ya udaku? huoni kuwa kitendo cha wewe kuchangia hii thread kinakufanya uwe mpenda udaku?
Haya yaweza kuwa maoni yako na una kila haki ya kutoa maoni yako kwa kadri yoyote unayotaka. Suala la kuwa na viongozi wengi wa kiislam ndani ya ccm kuliko wakristo ni suala ambalo Kikwete ninamshauri hapa kuliangalia.
Na mimi nimekujibu tayari kuwa waliopigania uhuru hawakuwa na dini yoyote ya kigeni au influence ya dini za kigeni - uislam au ukristo. Walipigania uhuru kama waafrika wenye uchungu na ardhi na malighafi zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.