Search results

  1. obsesd

    Natafuta mke huku chit chat..napokea maombi..

    single and ready to mingle......
  2. obsesd

    Mwigulu Nchemba adai alikuwa best student stashahada ya kwanza na ya pili.

    mmmh nimekukubali na arguiment zako mkuu!
  3. obsesd

    Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

    masikiniii! ila bidada kajilipua hapo kwa kelvin dooh! yetu mapua maana macho yashachoka walahiii.
  4. obsesd

    Mamake Lulu Na Kanumba Wala Kiapo Cha Kimila

    afuu huyu mama kanumba tokea mwanae afariki naona kapagawa vibaya mmh!
  5. obsesd

    Hiki ndicho alicho kipost msanii prezoo baada ya kumwagana na chaga barbie

    mmh kwa kweli kuwa uyaone sio maghorofa ....... hapana ya walimwenguu lol!
  6. obsesd

    Prezzo akutana na mashemeji zake kutoka tanzania tayari kwa maandalizi ya ndoa soma hapa

    hahaha hii sredi na kinachoendelea instagram vimenifanya mbavu zangu ziume lol!
  7. obsesd

    Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

    hakuna designer hapo labda owners wa izo clothing line tuu....... ! kuhusu nana zaid well nampenda muke ya mzungu.
  8. obsesd

    Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

    dada mwammy hapa kachemka dooh!
  9. obsesd

    Huddah monroe wa kenya ampiga dogo jack cliff kwa kukamatwa na madawa ya kulevya

    kwakweli bora yake anauza k kwa wazungu mombasa!
  10. obsesd

    Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

    ivi adhabu yake ni miaka mitatu jaman???? kwann mbona midogo ivyoo ukiringanisha na kosa au??
  11. obsesd

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    daah kama niliotea vile arobaini yake......!! lkn nitammiss kwa red carpet jaman na ma nofakezone yake...... iv itakuwaje red carpet bila jackie beach baibe!! nirvan itaboa bila fashionista kama uyu kwenye fashion news na deo daah.
  12. obsesd

    EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

    hahaha aisee! hongera kwa mtazamo wako bi dada!
  13. obsesd

    Kwa watu wazima tu 35+

    haya bana nadhan atakuja na conclusion ya ili pia.
  14. obsesd

    Kwa watu wazima tu 35+

    mmh tuwe serious jaman kweli mnapenda mimaji mimaji tena kias ichooo?
  15. obsesd

    WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

    ouh ok! mimi ni mke na ni mama pia wa watoto wawili. enh......
  16. obsesd

    Uliza chochote kuhusu wakurya.

    majigambo fulani ivi....... yaan akiwa sehemu lazima ujue na kujionyesha ana hela, utasikia fanyeni tuu kitu fulani nitalipia au kwenye ishuuz zozote zile atasema any deficity nitaicover ivyo yaan .....upo?
  17. obsesd

    WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

    ivi udadavu wa apo hadi uwe mwanachama??
  18. obsesd

    Wanawake Kwa Hili Mnakera

    wewe nawe hupendi tuu kuufikirisha ubongo wako, haya mwenzio kaufikirisha natumai kakubadili mtazamo, jifunze kufikiri nje ya box.
  19. obsesd

    Tembosa!! Bado nina Shida kubwa..Niamue nini?

    hahaha baba v embu msaidieni kijana huyo halafu V nae anahitaji kuwekwa kitako jaman hajielewi elewi mmemleaje sijui she z too selfish afu haiheshimu ndoa yake kbs. kwako kaka tembosa kaka embu endelea na maisha yako achana na v sijui ama v sijui baba v, let the bygone be the bygone.......move on.
  20. obsesd

    Mapozi ya kwenye simu yanayotumiwa na wanawake kuwanasa wanaume...!

    hahaha!! afu ukiisubiri saana hapigi aisee, haya makitu haya ni presha!
Back
Top Bottom