Search results

  1. T

    To all Investors in Tanzania "Get out of Tanzania and Go F@#% Yourselves"!

    Baba mchungaji naona umechukia kweli kweli, naomba kukululiza sasa hawa wawekezaji wazalendo tuwafukuze waende wapi?
  2. T

    Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Dar es salaam in nini? Madini? Kilimo? Gas? Utalii?( Umewashinda), Dar ni old hot & humid Transit shanti town. Hata kuvua samaki wameshindwa. Tanzania inaweza kwenda bila dar. ha ha ha ha.......................
  3. T

    Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Uchumi wa Dar es Salaam unatokana mainly na bandari, na ili bandari iweze kufanya kazi inategemea " Import/Export" Hivyo basi kama miondombinu ya bara " Hinterland" haifanyi kazi na bandari haitafanya kazi itakuwa kisiwa. Hivyo basi Dar inategemea bara zaidi kuliko bara inavyotegea Dar...
  4. T

    Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Vipi tunduma-sumbawanga-mpanda-kigoma? Hata kama ni single lane magari yasubiriane wakati wa kupishana?
  5. T

    Yusuf Manji amshitaki Reginald Mengi, adai fidia Sh1/-

    jamani mlisikiliza kauli ya mengi ? Mengi hakumshutumu mtu, mengi aliwataja watu wanaoshutumiwa?????? hata hapa JF watu hao wanashutumiwa mtakubali kuwa mashahidi kuwa mnawashutumu watu hao?
  6. T

    Rais Kikwete Bado Anatusubiri Tukamwone

    Napendekeza TPN iwe chama cha sissa sasa!
  7. T

    What happened to good governance?

    Hivi wana bodi wote ni wanahabari au ni achambizi?
  8. T

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hivi makanjajnja ni akina nani? alie tamka au alie tafakari?
  9. T

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    jamani huu ni mkakati maalum wa kuchafuana hapa. Zengwe hili dhidi ya huyu mzee liliaza kupikwa tangu enzi ya hoja za Malima na Mengi. Kama mtakumbuka gazeti la Mwanahalisi liliandika habari za mkakati dhidi ya Sitta na huyu mzee akalipangua hili Jambo. Watu wale wale waliotaka kumtoa...
  10. T

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    No it is destructive egagement? close down industries promote trade simple?????? mission eliminate the compititor in your trading activities??????
  11. T

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Mimi ninashindwa kuwaelewa title ya thread ni ya RA halafu mnajadili kitu kinginge mbowe nayeye ana thread yake sasa ni nini anaepotosha?
  12. T

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Wakuu salaam je mnalifahamu hili? Tarehe 1 Feb 2005 Mheshimiwa Lawrence M. Gama [ CCM ] Mbunge wa Songea Mjini Aliuliza hivi Je, tangu Serikali ichukue hatua ya kubinafsisha viwanda ni viwanda vingapi vinafanya kazi na vingapi havifanyi kazi hadi sasa na ni vingapi...
  13. T

    Mwanyika aongea...

    Jamani Jamani kusema huyu hapa katuibia ni kumfeedhesha MWIZI?????????? MWIZI??????????????. Asituambie mbinu wanazotumia sawa kabisa lakini atuambie ni nani kaiba huenda tukamsadia zaidi jinsi ya kupata hizo hela na mali zao ziko wapi. Si waliomba wenyewe kuwa mtu mwenye taarifa apeleke?
  14. T

    ATCL: Another Richmond!

    Hivi ni lazima kweli watu wote hawa wawajibike kwa rais? Tuchukuwe mfano moja tu ( Tafadhali ninatoa mifano ya mfumo na siongelei watu) 1-Waziri wa fedha anachakuliwa na rais kwa mapemzi yake mwenyewe bila kuulizwa umemtoa wapi huyo mtu unaetaka kumpa madaraka makubwa namna hiyo? raisi...
  15. T

    ATCL: Another Richmond!

    Swali lako ni la msingi sana, sana na jibu lake siyo rahisi kama unavyotaka tutaje majina. Kwa sababu tatizo lililopo siyo watu ila ni mfumo wa uendeshaji wa mambo yetu. Tujadili mfumo wa uendeshaji mambo yetu kwanza tukishakubaliana tuwaweke watu wa kutuendeshea mambo yetu. Binaadamu wote...
  16. T

    Washauri wapya

    Yule mshauri maarufu kutoka Japan aliyejulikana kwa jina la DR Kobayashi aliyeletwa na BWK kwa jina kubwa la " MINI TIGER PLAN ya 2020" kaishia wapi? Mipango yake imewekwa kapuni?
  17. T

    Kirusi gani kinautafuna uwanja wa ndege wa Songwe kule Mbeya

    Jamani wana JF ninawaomba kuuliza hivi mbona uwanja wa ndege wa songwe Mbeya umekuwa ni kitendawili kisichoteguka? Haumaliziki kwa nini -wakandarasi hakuna? Hawautaki? Fedha hakuna? Ni kirusi gani hasa wajemeni ninaomba msaada wenu.
  18. T

    Miaka 45 Baadaye. Wako wapi hawa?

    Waasisi wa TANU ambao walihudhuria na kushiriki katika Mkutano wa kuzaliwa kwa TANU walikuwa 17: (1) Mwalimu J.K. Nyerere – Rais wa TAA/TANU (2) Geremano Pacha – Jimbo la Magharibi (3) Joseph Kimalando – Jimbo la Kaskazini (4) Japhet Kirilo – Jimbo la Kaskazini (5) C.O. Milinga – Jimbo la...
  19. T

    Je inawezekana kutokea Tanzania?

    Nigeria: FG Blacklists Siemens, Cancels Contract
  20. T

    Idrisa abadili mawazo. Hatojiuzulu tena

    nILITAKA KUJUA UKIIBA UMEME WA TANESCO UTAPATA ADHABU GANI? HIVI NDIYO WEBSITE YAO INAVYOSEMA, SIONI INAPOSEMA WATAKAT UMEME MARA MOJA!! ELECTRICITY THEFT Tampering with an electricity meter with the objective of stealing electricity is also a criminal offence. Theft of electricity...
Back
Top Bottom