Search results

  1. R

    Balozi wa Uingereza akutana na Katibu Mkuu wa CCM

    waliyo zoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi!
  2. R

    Maisha yangu kama Makamu M/kiti BAVICHA na Hofu ya kuongozwa na akili ndogo

    Tafuta huko ccm jibaba likutakase utazeeka bila kutakaswa
  3. R

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Ingekuwa vyema ukaihumia nafsi yako na kizazi chacho!
  4. R

    Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    Wewe hujui Biblia ndo kila kitu,ni heri kukaa kimya kama huelewi kama ni masuala ya utawala kuna mwanasiasa anayeweza kuwa na uwezo wa kuongoza kama viongozi wa kanisa?
  5. R

    Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

    Hawa magaidi wanaosubili mikutano ya ukawa wakaacha ya kinana bila shaka watakuwa ni magaidi wa kiccm
  6. R

    Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

    Asnte sana Kiongozi wetu unaye tujali na kutupenda.Hii ni mbinu ya ccm ya kutaka kudanganya watu kuwa mabomu siyo kanisani tu na mikutano ya chadema bali ni popote,kazi ya Mwigulu baada ya kutoka china ndo hiyo sijui itakuwaje ila tunamuomba Mungu awadhihirishe na kuwaadhibu hawa watu wanaotaka...
  7. R

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Hatuwezi kuitoa ccm kama watu hawapigi kura,uongozi wa chadema siyo tume ya uchaguzi inayopaswa kuandikisha watu na kuwahamasisha wapige kura,uongozi uliyopo umefanya mengi makubwa na unaendelea kufanya mazuri
  8. R

    Tumevurugwa: Tunahitaji muafaka wa kitaifa!

    Walizoea sana kuvuruga na kutufunika macho lakini bahatimbaya Watanzania waleo wameona shule kuwadanganya ni ngumu.Kusema kweli hakukuwa nania ya dhati ya katiba mpya na bora ila kulikuwa na nia ya katiba mpya ila iliyo mbovu zaidi kwa manufaa ya utawala
  9. R

    Tayari sitta kaonyesha udhaifu mkubwa

    Mkuu umesema ukweli, mungu aliwafichua wanafiki,tangu lini raisi akaelekezwa na mtu maneno ya kuonge wakati ana hutubi au kuongea, huku kujiamini sita kakutoa wapi
  10. R

    Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

    Hapana ile anakunywa mwenyekiti wa ccm kabla ya kuhutubia
  11. R

    Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

    kanywe gongo yako usubirie kifo, wewe hujui chochote kinachoendele na kinachopaswa kufanyika katika taifa hili,wewe unadhani faida ni ya chadema au wananchi
  12. R

    Tayari sitta kaonyesha udhaifu mkubwa

    Wapendwa wadau wenzangu ,nimekuwa na wasiwasi mkubwa baada ya kusikia sitta akichomekea kwenye hotuba ya raisi ya kupinga rasimu bila woga, kitu ambacho siyo chakawaida cha kuingilia na kuchomekea maneno. Binafsi sijawahi sikia na kuona kitendo kama hiki,sasa inaonyesha wazi kuwa ile hotuba...
  13. R

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    katika hali inayoonyesha dhahili kubembeleza wazanzibar wakubali selikali, mbili ccm wameona kwakumtumia kikwete wawape kila wanachokidai hatakama wamevunja katiba sawatu.Kwamaoni yangu mbele ya safari tukienda hivi tutachanganyikiwa na ccm itapoteza kile inachodhani itakipata, maana zanziba...
  14. R

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    pole sana kamanda, hebu tuambie chopa imeruka na kama imeruka police hawajasumbua?
  15. R

    Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    Nyimbo za Ugaidi,Ukabila ,Udini na ukanda zimechuja sasa unakuja kwenye cv, uongozi siyo cv ni kipaji kutoka kwa mungu,ni madudu mangapi yanafanywa na watu wanao jiita wana Phd, mirambo alikuwa na cv ipi mbona ni shujaa na atakumbukwa na vizazi vyote.Hebu tupatie cv yako
  16. R

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    Mtoa mada wacha kukurupuka fanya uftafiti kwanza kabla ya kutuonyesha umbumbu wako,ile gari ni kwaajiri ya kazi za upinzani, sasa wewe unadhani akiwa kwenye shuguli za chama hizi siyo zaupinzani? angekuwa kwa shuguli binafsi ningekubaliana nawewe kuwa kavuka mipaka
  17. R

    Katibu wa Chadema wilayani Geita anashikiliwa polisi kwa mahojiano -geita .

    Asante kw taarifa. WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA
  18. R

    MH MWIGULU, CHADEMA sio bahati mbaya ni Mpango wa Mungu huwezi kuihujumu ukashinda!!

    Mungu tunaomba umshike Mwiguru na kumuadabisha
  19. R

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Mungu ni mkubwa, naona wameanza kutoka pangoni, kwajinsi jamaa alivyoandika inaonekana yeye ndiye aliye wasukia mpaka wanakamatwa, sasa kama ni mlinda usalama wa slaa wewe unataka aseme anamfahamu ili kutibua mbinu zao za kiusalama. Wewe ulisha hamia ccm endelea kuvaa magamba yako waache...
  20. R

    A Million Dollar Question...

    Mungu wetu huwa hafichi wanafiki,ccm wameimba nyimbozote zina kataa sasa wanajariibu hii, subiri watakapo angukia pua chademama itapaa hawaitaikamata tena sijui wataimba wimbogani tena maana zote zimeisha
Back
Top Bottom