Search results

  1. S

    Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

    Cash ni jambo la kwanza katika kumvutia binti pili mwonekano yani pasonaa tatu kujiamini.Lakini sio losheni au kujichubua
  2. S

    Je ni uungwana kuruhusu mke au mme kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani?

    Hiyo ni sumu tena sumu mbaya mno sbabu mahawara hawaachani hata siku moja, pengine hawakugombana pindi walipoachana atakapomuona tena anaweza akaingiwa na tamaa kutaka kukumbushia kwahiyo hiyo issue kwangu NOOOOO!!
  3. S

    Wanaume wa kizazi hiki wana shida gani?

    Wote mmechangia sawasawa mi nitaweka sapoti 2 kwa hayo yaliyozungumzwa humu mi nahisi ni vyakula tunavyokula hasa mafuta ya kupika ndo sababu kubwa
  4. S

    Lipi kweli kuhusu pombe kali? Valeur, konyagi n.k

    Nalofikiri hilo la kwanza(strongly erect)sbabu hata ss tumewaona. Kuhusu nguvu za kiume pia nitatizo ht ww unajua ukilewa hufikiri kabisa wala hupati mihemko
Back
Top Bottom