Search results

  1. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    mdau,nadhan hujaelewa maelezo yangu vzr.hajawah kunifumania zaid ya kuhis tu fulan au fulan hata kwa kusalimiana tu.hatak niwe karibu na rafk yyt tangu nasoma,kila mtu alimuona hafai .na km nngetaka kuua cdhan km tungekuwa nyumba moja had muda huu. kuna wenza wanafanya mambo makubwa zaid...
  2. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    hakuna kilichonifunga,nilikuwa najitahd kuvumilia labda ipo cku atabadilika .na kujaribu kutafuta njia nyngne za kusolve tatzo kabla ya kuamua kutoka na uki chukulia n mume wa ndoa so huwez kukurupuka ktkmaamuz. lakn m sihitaj chcht alichochuma na wala tulichochuma koz mbal na uanafunz n...
  3. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    dada tumeshaenda zaid ya mara tatu nahic sasa nao wametuchoka naish kwamazoea tu kwa kwel,ila cna raha yyt.c unajua kwa shda na raha niliapa.ila naona muda unakwenda na nawaza ntakufa bila furahia mapnz
  4. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    cna hakika nn kikubwa atasema koz hajawah kunifumania ukiacha kuhis yan yeye tatzo dogo ananuna hata mwezi.hata ukiongea na mtu ambae yy n mgomv wake n kosa kubwa na mtaliwekea vikao
  5. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    n yeye ndo alitoa wazo na hakulazimishwa na yoyote na kipind hiko m nilikuwa chuo bado na n mwaka huu ndo nmemaliza
  6. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    nmejaribu yote hayo kwa miaka 4 cjaona tofaut,pil c mtu wa kupenda kukaa na kutatua jambo kwa maongez akiamua ameamua
  7. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    sijabahatika kupata mtt anakunywa ila c mlev wa makelele n wa kistaarabu tu tumeshirikisha wote had viongoz wa din na mara nyingne huwa hatokei akiitwa.na hata wazaz wake hawaogopi wanaweza ongea nae akasoma gazet na hafat hata yanayoamuliwa,ana kajeur fulan cha vijisent
  8. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    kuwepo kwangu had sasa n ishara tosha nafata mafundisho niliopewa otherwise nngekuwa nmeondoka muda tu. na hata kama kuna tatzo solution n kutatua lakn c kufanya visa hv,mwisho wake utakuwa nn baada ya visa!
  9. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    n yeye ndie alitoa na akafata taratibu zote
  10. D

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    Mm n msichana nna miaka 26,nmeolewa na nna mwaka wa 4 sasa katka ndoa.mume wangu amenipita kama miaka 12 hiv Tatzo ni mume wangu ana wivu sana,asisikie kitu hana haja ya kufatilia km n kweli au lah ye ananihukumu tu.ameshanitoa kwake zaid ya mara 3 nami narudi home, baada ya miez kadhaa huwa...
Back
Top Bottom