Search results

  1. McCOY

    Kiwanja

    wakuu nahitaji kiwanja maeneo yoyote ili mradi iwe kinyerezi....budget yangu ni Tshs 4 Million. ni-PM tafadhali tuwasiliane zaidi
  2. McCOY

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari mkuu. Nasumbuliwa na kanyama kameota chini ya kitovu (warts). Nimetumia dawa mbalimbali za kupata na ku burn kama podophlyn bila mafanikio. Msaada wako tafadhali.
  3. McCOY

    Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Every time you go away - Paul Young
  4. McCOY

    External Hd

    Malcolm nazingua mkuu. Kama una mzigo njoo tufanye business
  5. McCOY

    External Hd

    Weekend hii mpunga nitaumaliza soon
  6. McCOY

    External Hd

    Nahitaji external hard disk yenye latest movies na series. Budget 150K. Ni pm
  7. McCOY

    Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

    unapoenda porini kuwinda hutakiwi kwenda na huyo mnyama wa kuwinda......utampata hukohuko!!
  8. McCOY

    Hivi watu Dar mnapata wapi pesa namna hii, Kila mtu gari?!

    Kwa Dar kuna 4 basic needs. Food, shelter, clothes and Car...
  9. McCOY

    Hivi tundu kwenye donati ni la nini?

    Kuna jamaa yangu ni mlafi balaa.... donati anakulaga hadi hicho kitundu!!
  10. McCOY

    Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

    Beauty is in the eyes of the 'beer-holder'. Sizioni neema za Allah humo shehe!!
  11. McCOY

    Hizi fashion ni shida...

    Madness in the name of fashion.....!!
  12. McCOY

    Nyie kina mama nyie

    Mimi wa kwangu kanuna tangu jana....kisa nimemwambia kwamba lowassa asafishiki hata kwa jiki na msasa!!!
  13. McCOY

    Kwanini CHADEMA mnatutenga Ileje?

    Nimekaa Ileje hapo Itumba miaka kadhaa.... ni kweli CDM mnahitaji kufanya mikutano sana tena sana....sijawahi ona/sikia kiongozi wa kitaifa akiwasili Itumba au Isongole au popote pale kufanya mkutano na wananchi. watu wanaipenda sana CDM ileje hasa ikumbilo na isongole lakini elimu na ushawishi...
  14. McCOY

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    na wewe unavyo ombaomba papuchi!! kama huna hela tulia...waachie wenye nazo wakugongee
  15. McCOY

    Huduma za changudoa

    umeonge ukweli mtupu mkuu....kwa mazingira haya tunayoishi ni bora iwe hivyo. hawa wadada wa siku hizi ni ngumu sana kuwa peke yako....mtapangwa hata wanne na wewe hujui. ikihalalishwa hiyo biashara naamini hata ukimwi utapungua sana tu. naunga mkono hoja wakuu mniPM namba za hao kina jack na...
  16. McCOY

    Kufanya mapenzi kwenye gari ni ashki, ubahili au ujinga?

    Huku kwetu Ileje kijiji cha Yenzebwe watu wanatunguana kwenye baiskeli.......ni moja ya maajabu ya dunia!!
  17. McCOY

    Msaada: Mchepuko umenipa gono, zinaa sasa basi

    Marupurupu ya Uzinzi ni Magonjwa ya zinaa!! Nenda hospital...hakuna haja ya kuona aibu. The earlier the better. Pole mkuu
  18. McCOY

    Amefungashia kale kaugonjwa ketu! Members Only

    Hayo mazigo huwa nikiyaona tu hata mapigo ya moyo yanaongeza kasi.... Mi hao ma miss sijui english figa labda itokee tu
Back
Top Bottom