Unajua JD ziliainishwa vyema kwenye tangazo la kazi nikaona zinatosha kama nitazifanyia kazi kabla ya interview. Ninachotamani kukijua hapa ni mambo kama ya mshahara n.k kwani nataka kubadilisha kazi so nisije kupoteza gharama kusafiri kwenda kwenye interview halafu nikakuta napata kiasi kidogo...
Wana JF habari zenu,
Naomba kujuzwa kuhusu hii post Research assistant II nimeitwa interview lakini sina details za kutosha.
1. Naomba kujuzwa ngazi zao za mshahara katika hii post, nakumbuka waliandika ngazi ya TPDC-RS 2 ila sijajua ni shs ngapi
2. Marupurupu yake yakoje???
Ahsanteni sana
Dah sikushtukia kama nimekosea kihivyo...but naona kama hili tatizo la kukosea ni kubwa sana kwani nikitembelea post za watu nyingi zimekosewa..
Hapo elimu hai-apply sana mkuu ni makosa ya kibinadamu tu
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi.
Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali
Kama interested ni PM nitakutafuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.