Search results

  1. S

    Kwa udini na mizaha ktk inteligentia, Al-shabaab wakiingia kwetu tutagawanyika kuliko pambana nao

    Daa kweli dunia imejaa wendawazimu.Kweli ukikulia mazingira ya uzombi utakuwa zombi tu na unaweza kuwa zombi zaidi ya hayo mazingira.Tanzania ikiwa ni nchi ya kizombi zaidi ya mazombi wote,changamoto ya udini ipo,japo si ajabu kuwa na tatizo km hili.Tatizo ni raia wa nchi hii jinsi...
  2. S

    Why Obama is visiting Tanzania

    Hapa ndipo najiuliza Rais wa marekani anaipendea nini Tanzania? Hizi rasilimali zaweza kuwa laana hapo baadae,kwani nijuavyo mimi hata siku mmoja wazungu hawapendi watu wengine waendelee kama wao au zaidi ya wao, kwa lugha rahisi hawapendi kupata washindani wa katika mambo yote ya kiuzalishaji...
  3. S

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Nakubaliana na Muarishi mmoja aliyetembelea Tanzania naakasema "Tanzania ndo nchi pekee duniani waweza ukaja na dolla Tano ukawa billionea kwa kuwa tu una rangi nyeupe"Mimi usemi huu nautafakari kwa upana sana,na moja ya tafsiri yangu nikuwa Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye matahira...
  4. S

    Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    Ni vizuri kabla ya kuwa rate hawa tuletee vigezo tutakavyo tumia kuwa chagua,kwa hali iliyopo sasa wote hawafai.Kama watanzania tunataka kutengeneza utamaduni mpya wa kufikiri na kutenda tunahitaji tujue matatizo yetu,vyanzo vya matatizo na namna ya kuyaondoa.Viongozi wa kisiasa tulionao ni...
  5. S

    BARUA YA WAZI KWA MWL NYERERE, Mei , 2013

    Umesahau jambo mmoja kubwa kwamba misingi aliyoiacha imefanya watanzania wengi kuwa namimba za kufikiri,hawapendi kufikiri na wengi wao wamewakabidhi akili zao wanasiasa na viongozi wadini, wao kiakili wako likizo tangu 1961,na hii mbegu ulipandwa wewe mwalim,usisahau kumwambia na hili.
  6. S

    Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania

    Da amakweli dunia imejaa wendawazimu,walio na akili zao wa kuhesabu,tangu lini simba jike amezaa mbuzi? Dr slaa ni mwanasiasa wa Tanzania,mwenye fikira za Kitanzania,hanajipya na haitatokea akawa na jipya.Inawezekana tunatumia hisia kumuona anafaa kuliko uhalisia.Na pia sisi tumekuwa washabiki...
  7. S

    CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

    Duu hii kali???
  8. S

    Ule Ujumbe Uliookotwa Baada Padri Mushi Kuawa

    Ndugu yangu pole kwa jazba na fikiri vizuri kwani ninanvyo wajua waislam,hawana tatizo na wewe wala kanisa lako.Wapelekeni marekani kama waislamu watanzania ni magaidi na mkitaka wagawieni eneo waishi wenyewe tu muwe huru na amani
  9. S

    Mi nadhani muungano uudumishwe na uimarishwe!

    Muungano nijambo la maana,lakini muundo wa muungano siyo na kwanini usiwe muungano wa mkataba wenye serikali tatu? na kwanini hati ya muungano ni siri hairusiwi kuonekanwa hadharani.Ni muungano gani unaondoa utaifa wa eneo moja halafu mnamwita rais wa mapinduzi huku mkijua yeye ni sawa na mkuu...
  10. S

    Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

    Mimi nina mawazo tofauti kwani ninavyowajua wanasiasa wetu wa nchi zinazoendelea,mawazo yao,uwezo wa wakufikiri,utayari wao na uchambuzi ni sawa nguruwe pori ambaye hatizami mbele anapokimbia nimpaka agonge mti ndo ajue kunakizuizi mbele.Kwa hiyo shangai maneno ya ANNA Abdallla kwani uwezo wake...
  11. S

    Huyu ndio rais anayetufaa

    Mnao wataja wafai kutawala nchi ya kikapuku kama bongo land.Nchi yenye watu wenye ujauzito wakufikiri,jamii iliyooza kimaadili na ujuha uliokithiri!Let wait and see
  12. S

    Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua?

    Kubenea kama walivyo waandishi wengi nchini wanamaryenge ya kuangalia mambo na hawako makini.Huyu nji mjasiria mali tu
Back
Top Bottom