Search results

  1. mnengene

    Kwa hiki nilichoshuhudia huu mpango wa uzazi wa kuzaa watoto wawili au watatu siwezi kuufanya

    Mkuu Kichwa cha Habari mbona kama hakina mahusiano na mada yako
  2. mnengene

    Dkt Hamis Kigwangala amesema anatamani uteuzi mpaka anakosa Usingizi

    Wewe ndio huna akili.unalazimisha uchawa Kwa. Kigwangala. Kigwangala anavopenda sifa anaweza akakutumia
  3. mnengene

    Dkt Hamis Kigwangala amesema anatamani uteuzi mpaka anakosa Usingizi

    Wewe mpuudhi umalipwa na Kwa hii posti yako ya kumpiga madongo mpuudhi kigwa IPO kimkakati unataka kigwa akutafute akuombe uwe chawa wake kwa malipo. Kigwangala najua hupo huku jf huyu dogo anakuomba kazi ya uchawa awe anakupamba kama anavyofanya Kwa Bi Betina na Zero brain bashite Anataka hiyo...
  4. mnengene

    Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

    Ni kweli ni suala linalofikirisha sana hususani ukifikiria labda na mimi na weza kuwa hivyo nikiwa.mzee au? Cha msingi usimcheke.mtu tujitahidi kujibidiisha kumuomba Mungu pamoja na kuwekeza Kwa ajili ya baadae.
  5. mnengene

    Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Mtoa mada huelewi hata source ya utajiri wa GSM. Home Shopping Center. ilikuwa kampuni kinara wa kuingiza mizigo mingi hapa Tanzania Bila kulipa ushuru. Source ya utajiri wao hao GSM formerly HSC ni kukwepa kulipa kodi za serikali pamoja na biashara ya Meno ya tembo akishirikiana na JK wakati...
  6. mnengene

    Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Mtoa mada atakuwa mshamba flani katoka bush hivi karibuni na pia amekurupuka na hii thread yake
  7. mnengene

    Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

    Mbona kuna vyuo vya elimu ya juu hapa.nchini vinafundisha masomo ya dini? Na sio kweli.kwamba wale wote wanaosomea masomo ya dini wanakuwa mapadri/mashekhe au masista. Kama kuna vyuo vya elimu ya.juu vinafundisha masomo ya dini sioni shida Kwa wanafunzi kuanza kuwekewa.mfumo rasmi wa kubobea...
  8. mnengene

    Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Nilivyokuelewa mimi umeelezea kuhusu NDOA. na wala sio mwanamke na mwanaume aliyekamilika. Ndugu unatakiwa uelewe kwamba NDoa hapa Tanzania ni suala ambalo lipo kisheria .Sheria ya Ndoa, Sura ya 29 ya mwaka 1971 Huwezi kujadili suala la ndoa Bila kuhiusisha sheria hiyo acha kupotosha
  9. mnengene

    Hii nchi kila kona fremu

    Na fremu hizo nyingi utakuta zinauza pombe hususani hizi kali za bei rahisi na za kupima
  10. mnengene

    Maswali kwa Waziri Mkenda kupata ufafanuzi sababu za kuunda combinations mahususi za dini Sekondari

    Mbona kuna vyuo vikuu vingi hapa Tanzania vinafundisha shahada na astashahada za dini? Cha msingi isiwe Kwa kulazimishana mi ninachoona ni kwamba serikali inaweka mazingira mazuri kila mtu aweze kupractise dini yake atakavyotaka
  11. mnengene

    Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Si ndio hapo Sheria ya Ndoa ya Tanzania inaruhusu mwanamke hata wa miaka 15 aolewe ila Kwa IDHINI ya wazazi au walezi wake. Nimenukuu kipengele hicho cha Sheria hapo chini "17. Requirement of consent (1)A female who has not attained the apparent age of eighteen years shall be required, before...
  12. mnengene

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    "Kwa sababu katiba ipo wazi kabisa kuwa anapokuwa amefariki Dunia Rais anayetakiwa kutangaza kifo hicho ni makamu wa Rais" Nimekunukuu hapo juu , ni kifungu kipi au namba ngapi kinachoelekeza hivyo?
  13. mnengene

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Siku hizi huku mtaani hadi vigrocery vimegeuka nightclubs so watu hawaendi mbali. Zamani hayo maeneo yalibamba sana kwani maeneo ya kujirusha yalikuwa machache
  14. mnengene

    Tetesi: RC Chalamila kuhamishwa Dar

    Fedha zote zinazopelekwa halmashauri hata za makusanyo ya ndani ni za serikali. Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali katika mkoa ni RC
  15. mnengene

    Ni dhihaka kwa Mungu kualika kwenye futari watu wenye uwezo waliokula milo mitatu

    Unakuta mtu anaalikwa Kwenye hizo sherehe za kufuturisha zaidi ya 3 in a single evening na anahudhuria vyote
  16. mnengene

    Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

    Kabisa huyu atakuwa mjinga hata ya zaidi ya wajinga ambao hujawahi kuwaona The gay is rubbish
  17. mnengene

    Wenza nao kulipwa mamilioni halikubaliki viongozi muogopeni Mungu

    Ngoja machawa kama Lucas mwashambwa aka Muoshambwa waje wakupinge
  18. mnengene

    Fatma Karume: Hatuna Haki ya Kulalamika Uzawa wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu amezaliwa Zanzibar

    Basi wacha waendelee kulalamika rais wao kuteuliwa Dodoma
  19. mnengene

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Kuna mmoja alijiitaga Komandoo, Salmon Amour . Anateseka huyo ni kipofu Kwa sasa Kufa hafi ila ni mateso tu anapitia
Back
Top Bottom