Search results

  1. A

    Advantage kwa Mh .Lowasa

    wataipenda tu UKAWA!!! acha wachumia tumbo akina polopolo plus prof lipumbavu wakule mabaki ya escrow ya ccm afu wakiamka tu wanaikuta UKAWA IKULU!!!
  2. A

    Hii si kawaida au ni kwamba wakati wa ukombozi umefika au???

    Ccm kifo cha mende!!!! Kushney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. A

    Dr.Benson bana na humphrey polepole,wekeni akiba ya maneno!

    hawa ni watu wenye njaa ambao kutwa kucha hawachoki kujipendekeza kwenye familia ya kujilimbikizia mali ya CCM. I MEAN WACHUMIA TUMBO!!!!!!
  4. A

    Dr.Benson bana na humphrey polepole,wekeni akiba ya maneno!

    wote wachumia chumbo tuu hao, hawana lolote zaidi ya kujikomba kwa wenye CCM yao japo wapewe mabombo yaliyodondoka kutka mezani kwao.
  5. A

    Kama Kenyatta alipata urais, basi hata Lowassa ataupata tu

    Hatutaki tena kitu kinaitwa ccm!!! Ccm ya sasa imepoteza sifa za kuiongoza nchi yetu, kila idara ya serikali ni ufisadi tu!!! Genge la ccm limeweka mgombea atakaye weza kulinda maslahi mapana ya mafisadi wa ccm na ndo'maana wanamuogopa mkuu el kuliko kitu chochote kile!!! Wakiskia tu el...
  6. A

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Nakubaliana nawewe mkuu asilimia mia!!!!!!!!!
  7. A

    Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Naamini ufisadi unaosemwa wa lowassa huwezi mtenga jk!!! Haingii akilini pm akapiga dili kubwa bila ruksa ya rais!! Haipo na ni ngumu sana!!! So, i think lowassa alitumiwa tu ka'mbuzi wa kafara ila in reality mkuu wa kaya can't escape such a scandle!!! Ukitaka kuamini jiulize swali moja tu...
  8. A

    Nilionya kuhusu Zitto siku nyingi sana, hakuna aliyetaka kusikia

    hakika inatia uchungu sana mkuu!! Hawa wasomi wa nchi hii akili zao ka'za machangudoa vile!!! Yani mtu yuko tayari kuuza utu wake kwa vipande kadhaa vya fedha???!!! What a shame to all tanzanians and our poorer country tanzania!!! Mtu anakuwa after money kupitiliza kiasi cha kuwa ka'nyama ya...
  9. A

    BEI MPYA YA UMEME: CHADEMA, wasomi, wanaharakati wapinga bei mpya

    Na bado! Ccm wanafanya mambo as if hii nchi ni "kiosk chao". Watz mkiona watu wa mataifa mengine wanaandamana na kupoteza uhai mjue wanakuwa wamefikia "the point of no return". So if one day that point reaches in our country automatically watz wataingia mitaani kudai kuondoka kwa hawa...
  10. A

    CHADEMA yatajwa mgomo chuo kikuu...

    Watanzania wenzangu, hakuna aliye na atakaye kuwa na jipya ndani ya chama cha mapinduzi (ccm), hata awe nani na atoke wapi. Ccm ishakuwa corrupted completely and there's no way whatsoever it can come back to help us tanzanians. Cha msingi ni kutomchagua mgombea yeyote yule wa urais hata ubunge...
  11. A

    Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

    Wana jf tujitahidi sana sasa kuwaelimisha watz wengine ili 2015 ccm ipotelee mbali kabisa kwani ni genge la wezi wenye mfumo hatari sana wa kulindana!!! Washatufanya watz kuwa kama takataka then we should act against them vigorously.
  12. A

    CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

    Aibu yaoooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!
  13. A

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Kuleni tu, jilieni maana muwaibiao wao ndo'waona mwafanya iliyo sawa! Keep it up! Eat just eat!!!
  14. A

    Namlilia Julius Mtatiro...

    This gentleman is just there for food purposes! Akila akashiba anasema kidumu ccm+cuf!
  15. A

    CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

    Watz bwana hawana maana! Mmeconcentrate kuangalia cdm wanashindwa wapi ili mseme hawafai! Mbona mi'ccm yenu inaharibu daily na hamsemi kitu? Wasingeenda kuongea na jk mngesema wanapenda fujo, wameenda mnadai hawana uwezo wa kumshawishi jk asisaini! Hiv jiulizeni vichwani mwenu mlitegemea jk...
  16. A

    Ongezeko la Posho za Wabunge ni Wizi na Dhulma dhidi ya Wafanyakazi

    Watanzania mnalalamika sana lakini kuiondoa serikali hii dhalimu ya ccm hamtaki! Ngoja wawaoneshe kwamba wanawadharau mpaka muamke! Mtabaki kusemasema tu with no actions then kwa kuwa wanawajua ni waoga watawatenda wapendavyo na you'll never do anything! Kazi kucomplain and when it comes to...
  17. A

    Mkapa: Kikwete ni robot

    CCM hata mfanye vipi jamani mshatuchosha! Hamna mpya! hata nguo ya miaka hamsini itakuwa ilishaoza so kaeni pembeni. kazi kuwaza mitumbo yenu isiyoshiba for fifty year!
  18. A

    Tahadhari kwa Timu ya CHADEMA?

    Wakijisahau tu kazi kwisha! tutaanza kuona mmoja mmoja anaugua, mra oooh India mara oooh Muhimbili! Majuto ni mjukuu na asiyesikia la mkuu............
Back
Top Bottom