Search results

  1. A

    Unaenda hotel unaambiwa ina usalama wa kutosha, je unajisikiaje?

    Unaenda hotel unaambiwa ina usalama wa kutosha, unajisikiaje? Na mwonekano wake uko poa, uzio mnene, na security guard akiwa getini. Kwa upande wangu huwa napende kujua hali halisi ya usalama wa hotel niifikiayo kila ninapokuwa safarini. Lakini huwa nashangazwa ninapoingia chumbani na kukuta...
  2. A

    Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!

    hah ha ha ha ha, umakini ktk mapenzi ya sha sha ni upi? ni ujamii forum au ? nadhani kama unahitaji mtu makini, ni yule anayekuvutia kimwili. Nenda pale Africasana kuanzia saa 4 usiku. wote wanavutia ingawaje ni uzuri wa kununua na vipodoz. Wajamii Forum watakupa taabu. ikifika usiku muda wa...
  3. A

    Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

    Ha ha ha, mkapa-nyerere, mhhhhhh nyerere-mkapa. Tutawapima dna sasa. Julius kambarage nyerere benjamini willium mkapa labda kama waliwahi kuoa nyumba moja, ila kwa hili- mkapa atafute ndugu wengine, sio nyerere.
  4. A

    Breaking newz.=hatimaye waziri asalimu amri,akubali kujiuzulu

    umeitumia kikamilifu kona hii, umetushika wengi, umbea wangu nimefungua fasta ili niwajuze na wengine, kumbe ni kutuuu.... ILA NASIKIA HATA KWENU KUNA WAZIRI WA KUWASHA TV.
  5. A

    Leo mbunge mmoja wa chadema sawa na wabunge 30 wa ccm, kesho mbunge mmoja wa ccm sawa na wabunge 60

    Huyu hajui kuwa kinachobadilika ni uongozi na aina ya maamuzi, shuguli za kiserikali zitabaki kuendelea kama kawaida. Mara nyingi mageuzi na mabadiliko lazima yawe na sura mpya, kumbuka yakishakuja huna budi kuyapokea. Watanzania wenye akili na uwezo wa kuongoza nchi ni wengi sana, labda wewe...
  6. A

    Utacheka-vijana wanasema ni kumega

    Mabint hupenda kutumia neno...ku do. wamama wanaita kufanya wazee wanaita kunyosha viungo je wewe unaitaje?........... Madent je.............
  7. A

    Kitendawili

    na ilikuwa shule ya wanafunzi wa kike, mwalimu alikuwa wa kiume. Kidogo astopishe wanafunzi kutoa jibu la kitendawili, ili atoe jibu mwenyewe kwa kusema ndiyooooooooo. Ha ha ha, alihisi anapewa nini sijui. Au ndo wewe bingwa?
  8. A

    nisaidieni

    Ulitakiwa uanzie ofisini kwake au kwake kujitambulisha na kuomba namba, sasa wewe umeanza na namba kisha kumfuata wakati yu karibu. kajifunze maswahibu ya kutongoza yakoje. kaza mwendo ila ujiamini.
  9. A

    Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

    Kuimba ni kipaji. wana kipaji, kama mzee Yusuf, ametushiii. nawe kajaribu kuimba walau kibwagizo tu, utakoroma.
  10. A

    Accounts assistant-1

    ningeitaja kama kigezo.
  11. A

    Mkapa ndio mgombea ubunge arumeru??

    . Wanavua magamba tunavaa magwanda. Ya CCM amekuwa mazito. Gwanda unaweza kulifua likatakata mbele ya wa tz, lakini gamba, gamba ukijaribu kulisafisha unalichubua na kulijaza mikwaruzo. ila mkapa kanifurahisha, alikuwa kama ka kijana ka miaka si zaidi ya 35. maana hata matusi kanatoa tu mbele ya...
  12. A

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    hahaha ha . Uliandika ujinga gani wewe mpaka moderator akakuokoa? ha ha, siasa noma. mzee wa watu anatengeneza ulinzi wake mwenyewe. alikula.
  13. A

    Wana jf bwana!

    kweli napenda, kumbe ulielewa? mbona ulizuga sasa. usiku mnene eti.
  14. A

    Wana jf bwana!

    hii kona naona nawe inakuvutia sana. lala mama.
  15. A

    Wana jf bwana!

    ha ha ha, nilijua hapa hukosi, unataka kuomba ushauri nini, hebu nawe sema, ndoa imekuchachia nini?
  16. A

    Wana jf bwana!

    Nawe upo kona hii? una matatizo gani ya mahusiano?
  17. A

    man can never be trusted

    Amekuambukiza? kwanini ulimtrust pasipo kumpima? imetoka hiyo.
  18. A

    Wana jf bwana!

    Wakifika katika section ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Kila mtu........................ Mapenzi bwana!? Hii ndo africa.
Back
Top Bottom