Search results

  1. P

    Tanzania tuna Rais asiyejua majukumu yake na wajibu wake

    Ni sheria tuu itakayotekeleza yote haya cha msingi aliyeko juu anapaswa kuhakikisha hakuna mtu anayeipindisha, hapo tutaheshimiana, tutahurumiana, tutawajibishana, tutaogopa kupokea na kutoa rushwa , tutalinda rasrimali zetu, tutaaminiana katika vyama vyote na kupendana, tutajenga nchi yetu...
  2. P

    Tanzania tuna Rais asiyejua majukumu yake na wajibu wake

    dira ni maisha bora kwa kila mtanzania, halafu katoa uhuru kwa kila mtu katika nafasi yake, sasa nyie uhuru huo mnautumia kwa kupiga kelele, kuongea sana na kulialia mnataka muwekewe mirija mpaka kwenye matumbo yenu? Fanyeni kazi na kama mtaendekeza na huo ujinga mnaopewa na wanasiasa nchi hii...
  3. P

    Tanzania tuna Rais asiyejua majukumu yake na wajibu wake

    Watanzani acheni kuyumbishwa na wajinga wenye tamaa ya madaraka,, Rais yupo pale kwa mujibu wa katiba na sheria, unata achukue maamuzi gani wakati kuna vyombo vya sheria? Mna lalamika kuwa Rais ana madaraka makubwa halafu mnataka yeye huyohuyo afanye abebe majukumu ya mahakama? Huwezi kufanya...
  4. P

    CHADEMA Ardhini, CCM na Serikali yake Angani

    hakuna lolote wanadenda kula zenu2, hata ccm wakishika mkojo wao cdm watashika mavi kuonesha tofauti, cjaona upinzani tanzania wa kiwango cha chini namna hii, na kwa kuwa cc wananchi hatuna Elimu ya uraia bs ndo tunadanganyiiiika,, vi here here hawa.. Angalia suala la posho utagundua target yao...
  5. P

    Mafuriko Dar. Maneno na nasaha za MBOWE Ni funika bovu

    binadamu akatafutwe na mbwa,, hv wewe mbowe ni binadamu wa aina gani? Katika maneno yako yote umeona hy ndo nasaha? U c tuongezee machungu ya mafuriko fanya utafiti wa maneno yako , mmechoka kudharau serikari sasa mmeanza ku2dharau na cc wananchi ,pelekeni uhuni wenu huko .
  6. P

    Ipe maneno hii picha (JK na Wassira)

    Mh, rais ukiona hv ujuwe huko hapapitiki labda twende na zile tulizotumia igunga. Za angani
  7. P

    Dr. Slaa Msikivu, Mfano wa kuigwa

    kuhusu mufti mmeenda mbali hapo, hatuhitaji digree Ni Elimu ya dini pia busara na hekima.
  8. P

    Dr. Slaa Msikivu, Mfano wa kuigwa

    Mdanganyeni2 awape tafu ya kuvuta watu kwenye mikutano kwa staili yake ya kuongea uwongo,, lakini wakati ukifika , kwanza kikumbo atakachokumbana nacho ndani ya chama chake kabla 2015 cyo kdg..lazima atambue hili ingawa c lazima aamini hili... Kwa ujumla hasa sifa za kutatua matatizo...
  9. P

    Mwalimu Julius Nyerere Na Picha Za Uhuru Wa Tanzania, Wachina Wanasema Picha Uongee Mara Elfu Moja

    nimeipenda, picha zinaonesha jinsi viongozi we2 walivyokuwa na muonekano wa uzalendo halisi, yaani ni tofauti kbs na sasa, na hata ukilinganisha na picha za sasa utaona sura zimejaa unafiki na tamaa tupu
  10. P

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mafuriko lililotolewa na Dr. Slaa leo

    msaada wake ni nn? Sy kusemasema tuu na kulaumu serikari, sy wakati wa kampeni hapa tunamajanga tuondoe tofauti zetu.
  11. P

    CHADEMA yaanza mikakati mizito ya ushindi

    Hiyo ni mipango ya kwenye makaratasi,, utekelezaji wake ni sehemu ingine tena, ina changamoto nyingi na mapito mengi, je? Ukomavu na uvumilivu wenu utawafikisha 2015 bila kupigana vikumbo ninyi kwa ninyi?.. mna lengo zuri lakini jipangeni kitaifa acheni siasa za kulipua mabomu waelezeni...
  12. P

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    tatizo zitto na kafulila nyie ndo mnaowalazimisha kupata umaarufu ili hali bd ni wachanga sana ki siasa, labda kwa kukurupuka na kupayuka hovyo ndo mnawaona ni majasiri? Bado sana hawa hawawezi hata kuhimili nyufa ndani ya nyumba zao. Mfano mmeona kafulila ameishia kuomba msamaha ina maana...
  13. P

    Kikwete kulia au kushoto?

    kwani ukishindwa ubunge ndo umeshindwa kutumikia taifa kwa majukumu mengine? Mbona mna umaskini mkubwa wa mawazo jamani? Mmeona ubunge ndiyo mwisho wa kila ki2?. Nendeni mkajifunze cyo mnakurupuka2 kama mnatoka msalani
  14. P

    Kongamano la Katiba Mpya- Ukumbi wa Kiramuu Mbezi beach

    nawapongeza lakini wajikite ktk katiba ki undani na mazungumzo yatawale mambo ya ccm na serikari watapoteza muda na hawatoa elimu bali watatoa burudani tuu masikioni.
  15. P

    Nape Nnauye

    kasomee kwenye maandamano na kukataa posho wakati mna njaa kibao.
  16. P

    Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

    Hivi mmeona ni wabunge tu wanaopewa posho kubwa? Kwanini hao wanaopinga posho wasiseme watumishi wote waserikari na wa binafsi wasiongezwe au kupewa posho? Ni mtego tuu wa wanasiasa kujifanya wao wanahuruma na wananchi kumbe wanacho wanachokitafuta. Nadiriki kusema wanafiki wakubwa waniulize...
  17. P

    Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

    Vyombo vya habari mmekuwa wapotoshaji, mnatakiwa mjitambue na mjitenganishe, maana kuna vyombo vya kuripoti habari na kuna vyombo vya kutengeneza habari sasa kati ya hv ni lazima muangalie ni habari ipi inatakiwa iripotiwe na habari ipi inatakiwa itengenezwe. Mkitambua hivyo taaluma hii...
  18. P

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Hatujawa na wagombea binafsi hapa iliyoshinda ni NCCR. Agombee yeye kama Kafulila sasa kama Tendwa anamfahamu kwenye daftari la vyama
  19. P

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Zitto nae alipeleka maaskari kwenye kikao cha NCCR yeye kama nani? Jamani hizi siasa zimekaa vipi Tanzania hii. Upinzani bado upo poor kabisa wanajilazimisha tuu. Na tukiwapa upenyo kuongoza nchi mambo yatakuwa shaghalabagala kwa muda mfupi sana.
  20. P

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    sidhani kama hakupata nafasi ya kuomba msamaha lakini mpaka amefika hapo inaonyesha jinsi gani hakuwa tayari kuomba msamaha. Ajipange tuu vyama vpo vingi au aanzishe chake awe mkuu kama anavyotaka
Back
Top Bottom