Search results

  1. W

    January na Mwamvita Makamba

    Muda c mrefu ****** atampeleka Nishati na madini, tayari umesahau ile mail ya dada kwenda kwa mkuu pale barrick? 2015 inakuja, mtaondoka tu hata kwa sime coz this time hatutakubali kabisa.
  2. W

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Sawa, ni msafi lakini c mtendaji. Hawezi kutufikisha kule tunakohitaji tufike huyu.
  3. W

    Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

    Acha upumbavu Wewe,umaarufu wa Kanumba ndio unaokufanya umhukumu huyu binti mapema hv? Kwani hawezi Kuwa alidondoka chini kwa bahati mbaya? Hii kauli mbiu ya NGUVU YA UMMA sasa inatumika vibaya hata na Watu wajinga wa aina yako
  4. W

    Waliosikia kutukanwa Batilda washinda kesi bila alietukanwa kushitaki - imetokea Tanganyika

    Makosa yako kwenye kifungu cha sheria za uchaguzi namba 108(II) (a) Jaji kwa kudhamiria katumia kifungu cha sheria za uchaguzi namba 114 ambacho kinahusu makosa yaliyotokana na rushwa tu halafu ikulu inataka tuamini kwamba mahakama ni muhimili ulio huru? Dhamira yao Ilikuwa Lema akate rufaa...
  5. W

    Slaa awe mbunge wa arusha

    Uko sahihi mkuu
  6. W

    Slaa awe mbunge wa arusha

    Lazima kuna mkono wa Mizengo Pinda, si alisema uongo Bungeni na kile kibibi kichawi kinapiga chenga kutoa uamuzi licha ya jemedari kumpelekea ushahidi. Siku 90 si nyingi na this time utashinda kwa kishindo kuliko hata uchaguzi uliopita
  7. W

    Mimi Mwanakijiji ameongopa?

    inaonekana huko kwenye shule zenu somo la msingi lilikuwa ENGLISH tu, hakuna math's huko
  8. W

    Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

    We hukusikia alichozungumza kwenye ufunguzi wa kampeni. Lakin kuna tetesi kwamba zile zinazoitwa kids zake ni za MRAMBA, laana hyo
  9. W

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hongera LEMA, walishatambua Kitambo. Mwanzo walihisi vijana ni mashabiki tu lakin hawapigi kura. ****** anajua jinsi 2010 alivyopata 40%,
  10. W

    Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    Lakin wanajamii, naamini ****** alikuwa anang'haa kupitia nyota ya EL. Huyu bwana ni mtendaji
  11. W

    Watangazaji ITV wanaaibisha

    Uko sahihi kabisa mkuu, amekurupuka huyo dot com
  12. W

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Wenzenu wachache walishalijua hilo mapema, hawapeleki tena watoto wao kwenye shule zenu. Ya kaizari mpeni kaizari
  13. W

    nmepanda akamba bus ya kenya toka dar tupo abiria 7

    Mzushi ww. Hyo c akamba. Kama daladala????.haya ni mabasi ambayo hata watoto unawakatia seat
Back
Top Bottom