Search results

  1. E

    Je Hii ndio ile Filamu ya Mwigulu ya Igunga Tuliyokuwa tunaisubiria?

    Alichofanyiwa huyu kijana ni kosa la jinai, anayepaswa kufungua kesi ya jinai ni jamhuri, si mtu binafsi wala taasisi yoyote. Chadema haina legal mandate ya kumfungulia mtu kesi ya jinai! Kesi zote za jinai zinafunguliwa na Jamhuri. Sheria iko hivyo. Isipokuwa hao wenye ushahidi wanaweza kuitwa...
  2. E

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Bora huyu amekuwa mkweli kuhusu elimu yake, au unataka afanye kama Mulugo na Profesa William Lukuvi? Si ndiyo zenu magamba? Suala la uchambuzi wa bajeti na uchambuzi wa mambo mengine huwa ni uwezo wa mtu binafsi kufuatilia mambo,ndiyo maana hata wapo mnaowaita wasomi wanatoa suggestion eti...
  3. E

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Hivi mtu anayeunda wilaya ya Rombo yenye warombo peke, au wilaya ya rufiji yenye wandengereko na wanyagatwa peke yao na mtu anayeunda jimbo/kanda yenye mikoa mitatu au zaidi, ni nani mwenye ukabila? Nani anagawa nchi kwa misingi ya ukabila kati ya anayeynda wilaya yenye kabila moja au mawili na...
  4. E

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kidumu chama, zidumu fikra sahihi za dr. fastjet zilizotufikisha hapa. Haya ni matokeo machache ya kauli zilizohubiriwa wakati wa kampeni za mwaka 2010 na zinazoendelea kuhubiriwa kwenye mikutano kadhaa ya akina nepi (nape). Tutarajie makubwa kuliko haya
  5. E

    Rufaa: Barua ya Mtela Allamu Mwampamba kwa katibu mkuu wa CHADEMA taifa hii hapa

    HIVI HUYU NDIYE MWAMPAMBA ALIYETAKA KUWA M/KITI WA BAVICHA NA MBUNGE WA MBOZI? MBONA HATA KUANDIKA BARUA YA KISWAHILI HAJUI! HEBU ATOKE, VILAZA KAMA YEYE WAKO CCM. SASA UNAMTUKANAJE MTU AMBAYE UMEMWANDIKIA BARUA YA KUKATA RUFAA? huu ni upungufu wa fikra kichwani (UFIKI)
  6. E

    Basi la Mtei lataifishwa kwa kubeba Wahamiaji haramu

    kwani ulitaka mtei afanyeje? linganisha suala hili na suala la kampuni ya katibu mkuu wa ccm kusafirisha meno ya tembo!
  7. E

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    alipigwa na kitu kizito
  8. E

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Mukoba asilaumiwe, ni vigumu sana kuwagomesha walimu. Tena safari hii naona wamejitahidi sana. Walimu ndiyo wanatakiwa kubadili mindset yao na kufanya kitu cha uhakika. Tatizo siyo cwt, tatizo kubwa ni walimu wenyewe
  9. E

    CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

    Giza (CCM) na nuru (chadema) vina ushirika gani? TOENI GIZA KATIKATI YA NURU! YOU CANT COMPARE ****** WITH FULL MINDED! Jioni njema wanaJF.
  10. E

    Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

    AMA KWELI, UJINGA NI MZIGO! KWANZA UMEANDIKA RUKUKU BADALA YA RUZUKU, HALAFU NADHANI WEWE UTAKUWA NI MTANGAZAJI WA REDIO UHURU (JIMMY KAGARUKI)! ANAYEKABIDHI NCHI NI CCM AU NI WAPIGA KURA? USE PROPER ORGANS FOR THINKING PLEASE! THREAD KAMA HIZI NI UCHAFUZI MKUBWA WA Jamiiforums,MODERATORS MUWE...
  11. E

    CCM wanasambaza barua mkoa mzima kwa wajumbe!

    hii sasa kali! tatizo la ccm ni kutaka kuiga kila kitu kinachofanywa na chadema! waliiga usafiri wa helikopita hadi mavazi (eti wameshona magwanda ya kijani), shame on them!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. E

    Kama Luhanjo anpaswa kuwajibika kwa kumkingia kifua Jairo kwanini JK naye asiwajibike?

    Hoja imeungwa mkono. Luhanjo alisema alichotumwa na JK. Kumbuka maneno ya mh. James Lembeli;" RUSHWA IMEINGIA HADI IKULU". Tuliyemuweka ikulu ni JK siyo jairo,jairo ni mteule wa JK!
Back
Top Bottom