Search results

  1. dlink

    Sale rav-4 safii

    Outdated post
  2. dlink

    Msaada wa haraka, polisi wamechukua vitu wanadai risiti

    Jaribu kuelezea vizuri upate msaada sahihi; 1. Vitu vimechukuliwa na polisi vikiwa safarini (yaani katika harakati za kuhamishwa sehemu kwenda nyingine) au vilikuwepo tu nyumbani kwake na polisi wakaja kuvichukua? 2. Pia mmehoji kwasababu gani vitu ivyo vimechukuliwa?
  3. dlink

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Wakali Kwanza - Natamani.. Hii imenikumbusha mbali kidogo...
  4. dlink

    Naombeni ushauri wajasiriamali

    Asante sana Mkuu, umenipa mwanga wakutosha. Wacha nianze na utafiti wa soko, baada ya muda nitarudi kuleta mrejesho.
  5. dlink

    Naombeni ushauri wajasiriamali

    Asante Kididimo, shamba nililinunua mie mwenyewe, kiukweli nimetafakari sana nini naweza kufanya lakini sijapata jibu zuri ndio nikaona nije jukwaani hapa ni jungu kuu.
  6. dlink

    Naombeni ushauri wajasiriamali

    Poleni na kazi, Mimi ni kijana wa kitanzania, ninashamba la ekari 4 maeneo ya Msata/Chalinze pia nina-mtaji wa Tsh. milioni mbili. Naombeni ushauri nifanye shughuli/biashara gani kupitia rasilimali hizi? Asante na ntashukuru nikipata ushauri wakunijenga.
  7. dlink

    Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Nimeliona jina kamili (yaani majina matatu) ya mdogo wangu ambaye kisomo chake aliishia kidato cha nne na kujiunga jeshi la wananchi Tanzania, hakika nina wasiwasi na hii orodha. Naiona haijakaa kitaaluma hasa pale waliposhindwa kuainisha chuo, kozi na umri na mwaka mtu aliosoma chuo husika.
  8. dlink

    Raymond WCB: 'Natafuta Kiki' - (Video)

    :):):D:D:D
  9. dlink

    Uzi maalum wa kupinga kulipia local channel kwa ving'amuzi Tanzania

    TCRA wanasema wanafuatilia ili suala kwa mujibu wa hiyo attachment.
  10. dlink

    Jipatie universal modem!

    Ebhana kwasasa zimeisha but next week uzigo unaingia wakutosha toka Dubai., so ntawafahamisha.,
  11. dlink

    Pata universal modem!.

    Aaaghy... .. adata5 we piga yowe Mnyamwezi nakula vichwa no matter what,..sikati tamaa kwa domo la Mswahili ka'wewe. . . Huo ndio Ubunifu+Ujasiliamali., sa'wewe kukalia jungu tu.. .."mjasiliamali jitume, usingoje kupewa ajira" Kazi Kwako.,
  12. dlink

    Pata universal modem!.

    JAMANI adata5 kwani umeshikiwa Mtutu Ununue kwangu??? Mind your bizy... #Nauza kwabei yangu Utaki Acha...#F .
  13. dlink

    First Lady wa China, moto wa kuotea mbali

    Aaaghy... io photoshop tu bandugu ni'wakawaida sn uyu first'lady.. Tafuta hotuba ya Mumewe inaitwa Chinese Mission.
  14. dlink

    Jipatie universal modem!

    Pata Universal Modem kwa Tsh.35,000/ hakuna haja ya kusumbuka ku'unlock au kua'limited na Mtandao wowote. Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Inaslots mbili,...moja kwa'ajili ya line ya mtandao wowote na nyingine kwa'ajili ya Memory Card. Angalia picha yake. CONTACTS; 0718'646486 &...
  15. dlink

    Pata universal modem!.

    kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what... Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo.. CONTACTS; 0718'646486 &...
  16. dlink

    Haya ni mazoezi ya wachache... Aisee!

    chezea bongoland. ..
  17. dlink

    Msaada - sceen display ya laptop inatetema

    Hapo tatzo ni hardware ambapo possibly inaweza kua ni Mkanda wa Display ambao usually huwa'affected by Mgandamizo au Kubamizwa, so waone Mafundi wa Hardware Watarekebisha fresh..
Back
Top Bottom