Search results

  1. M

    Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

    Acha ufala ni sanaa tu hizo za mwenyekiti aliyepo kuhakikisha yeye na watu wake wanabaki madarakani
  2. M

    Anahitajika MwanaCCM mmoja mfano wa Lowassa abadilishe hali ya mchezo. Siasa zimepoa sana

    Kwa kweli hali kisiasa nchini imepoa sana hadi inaboa kabisa. Ndio maana hata watu wengi hawajui nini kinaendelea kwenye siasa za nchi hii. Huwezi amini eti kwasasa bunge linaendelea hakuna anayefuatilia. Hali ikiendelea hivi inawanufaisha wasiofaa kuongoza nchi hii. Anahitajika MwanaCCM mmoja...
  3. M

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    Haya Sasa wenyewe watoto wa mjini wamekuja
  4. M

    Rais wa Peru asachiwa nyumbani kwake na polisi kisa kuvaa saa ya thamani

    Rais wa Peru ambaye ni mwanamama amesachiwa na kushtakiwa mahakamani kwa madai ya kuvaa vitu vya thamani ikiwemo saa ili kujua amenunuaje. My take hapa kwetu skendo ya saa iliisha kimya kimya https://youtu.be/xc6ms9CjYNk?si=CfxRMdBI2TuSfQNQ
  5. M

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hayati Magufuli alikarabati reli hiyo pamoja na mabehewa zaidi ya 500. Aliwarudisha kazini mafundi wote wastaafu wa shirika la reli na wakafanya kazi ya kizalendo sana. Huu mkopo wa Bil 516 kwa ajili ya ukarabati wa MGR Dar-Kigoma Je ni halisi? Ukarabati unahusisha nini na nini?
  6. M

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Kuna taarifa kuwa Press ya Mama kulitangazia Taifa msiba wa Magufuli ilitumwa TBC kwa Whatsapp bila hata Gen Mabeyo na wenzake kujua. Nao walishangaa tu imepelekwa na nani na Mama Samia kujuaje? Je kuna ukweli wowote?
  7. M

    Je, Hayati Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi?

    Hata ushauri anaopewa Rais huwa anamuuliza umepewa na askari, mwanasiasa au mtaalam?
  8. M

    Najiuliza Je, interview ya Mabeyo leo ilikuwa na ulazima wowote?

    Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati? Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
  9. M

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Makamu hakuwa loyal kwa Rais bali kwa wapinzani wake ndani ya Chama
  10. M

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Katiba kuhusu Rais na Makamu wake inafanana na katiba ya marekani kuwa Rais akifa Makamu anakuwa Rais. Sasa wewe unaonekana hujaangalia movie na series za kimarekani kuhusu vita iliyopo kwa Makamu kuutaka Urais! RC Chalamila akiwa katika lindi la huzuni alisema kwa Katiba hii basi Rais aombe...
  11. M

    Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

    Nimeona watu wamemchangia Mama Samia milioni 120 kwa ajili ya kuchukulia fomu 2025. Watu hao wanaongozwa na Kassim Majaliwa waziri mkuu wetu. Swali langu ni Je ni halali kwa Mama Samia na wapambe wake kuanza kampeni kabla ya wakati? Je haiwezekani kuwa Kassim Majaliwa anamtengenezea Mama...
  12. M

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Huyu Makamu hakuwa loyal kwa boss wake ndio maana walikuwa wanam bypass! Alikuwa Makamu Jeuri
  13. M

    Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Bado wafanyakazi wa CHADEMA nao wanamdai
  14. M

    Lengo la Mbowe ni kuifikisha CHADEMA 2025 ikiwa dhaifu

    Bila shaka Mbowe yuko kwenye mpango mkakati wa Mama Samia. Matendo yake ni dhahiri. Mbowe atakuja na program za geresha na atang'ang'ania Uenyekiti ili come 2025 CHADEMA iwe haina Agenda wala dira kumpa unafuu Mama. Si ajabu hata akasusia na chaguzi zenyewe
  15. M

    Hakuna umuhimu wa machine za kubeti mitaani

    kama hailipi wasingebet. Hakuna binadamu anayependa matatizo hasa ya kifedha. Mashine zile we zichukulie kama sanduku la kijumbe wa kikoba yaani leo unaweka kesho utachukua
  16. M

    Mkata umeme wa Goba ni katili, anatutesa mno

    Nyie mna uwezo wa kununua majenereta na kufunga solar wao hawana uwezo huo. pia nyumba zenu zina ma AC, Majiko ya Umeme na watoto wenu wanashinda kwenye katuni kwa hiyo mnakula umeme mwingi sana lazima mkatiwe zaidi
  17. M

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ameshindwa kushona kitenge akaona avae kama Kamala Harris?
Back
Top Bottom