Search results

  1. MWANAKASULU

    Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

    Sio chuo cha Walimu Butimba huyo boda boda wako mwambie akupeleke Bunda IL uje na taarifa kamili. Tukio Hilo limetokea majuzi linahusisha wanachuo wa Bunda TC. Sio Butimba.
  2. MWANAKASULU

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    Bado mapema. Ila muda ni zaidi ya professor. Ngoja tusubirie muda utaamuaje.
  3. MWANAKASULU

    BRELA ni jipu kwa kweli au ninyi mnaonaje?

    Uko sahihi mkuu kama wasomajibwapo humu walifanyie kazi. Hata kusajili Kampuni ni tizi ni Mara mia turudi tulikotoka ili wapate muda wa kujipanga na tekinolojia ambayo kwakweli ilikuwa nzuri ila changamoto zimekuwa kubwa kuliko ufanisi
  4. MWANAKASULU

    Kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down?

    Pole saana mleta Uzi. Bahati mbaya Watu wanajadili Picha badala ya tatizo. Ww uliyekimbiwa na Mme kaa chini na utulie mlilie Mungu atakuonesha njia. Na huyo Mwanamme IPO Sikh atakutafuta kwa style nyingine. Pole sanaaaa. Ila jipe Moyo. Na Mungu ni Mwema
  5. MWANAKASULU

    RC Simiyu, Anthony Mtaka: Sitoruhusu ‘Police Economy’ kwenye uongozi wangu

    Kwakweli. RC Mtaka ni Visionary Master na huwa sio mtanguliza usiasa saaaaana. Ni mtu wa vitendo sio porojo.
  6. MWANAKASULU

    Uvinza, Kigoma: Waziri Kangi Lugola ataka dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili

    Ni kauli yenye matumaini kwakweli. Ila nashauri aiweke kwenye maandishi awapelekeee marpc na Ocd pia wananchi wapate hiyo barua kupitia website ya wizara
  7. MWANAKASULU

    Tukio la Bobi Wine vs Tundu Lissu: Uganda wana taasisi imara huku Tanzania unafiki na Serikali kumezwa na chama

    Katiba katiba katiba. Katiba ikiwa na Nguvu kila MWENYE MTU atakuwa na nguvu stahiki mbele za Sheria.
  8. MWANAKASULU

    Kuwa makini na maneno unayosema ukiwa chini ya ulinzi, ni ushahidi tosha dhidi yako

    Somo zuri.saana. ila utekelezaji wake inahitajika mkono wa Mungu usimame juu yako.
  9. MWANAKASULU

    Msimamo wa Joyce Kiria baada ya kushauriwa amwambie mumewe aachane na siasa

    Mambo ya ndoa magumu sana. Ila akikumbuka alivyoapa na jinsi ilivyo Leo atapiga magoti na kutubu. Tuwaombee.
  10. MWANAKASULU

    Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    Andiko lako limefumbua macho.
  11. MWANAKASULU

    Undumilakuwili hauhitajiki ni vyema mjiengue mapema

    Hapana mm naamini kabisa Nchimbi na Sofia Simba ni Team Lowassa damudamu ila nashauri Sofia Simba na Nchimbi wabakie huko physically ila mentally wawe kwa Lowassa ili waweze kuvujisha na kudaka siri nyeti za kuhusu mikakati ya Nyinyiemu kuthibiti goli la mkono
  12. MWANAKASULU

    UKAWA wakimsimamisha Dk. Slaa itakuwa landslide victory kwa CCM

    Hivi kweli kama kuna mechi kati ya Simba na Yanga je Kocha Wa Yanga alishapanga safu ya wachezaji Wa Simba? so ww kama mnajua Dr.SLAA is nothing in Ukawa just keep quit ili uje kushinda. Kwa Ufupi Dr.SLAA anawatesa sana CCM na matawi yake.
  13. MWANAKASULU

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Nchi hiii Kama Ghetto.(God bless Lema) Ila hakuwatendea haki akina Juliana SHONZA na Mtela Mwampamba. ha ha ha ha ha ha.
  14. MWANAKASULU

    Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    CCM imetuweka Rehani. Naona Tanzania ikiingia kwenye machafuko. Saikolojia ndogo tuisome humu watu wanavyojibizana. Tutafyekana mapang balaaaaaaaa. Naomba Huu ----- usijadiliwe bungeni utatuunguza na kututeketeza.
  15. MWANAKASULU

    DED anapo kataa kupitisha kibali cha uhamisho

    Anakwambia hujakidhi vigezo VP???? Nakushauri ukatoe malalamiko Kwa RAS maana Tayari RAS Wa mkoa wako anayo nakala ya kibali hicho kilichotoka Tamisemi. pls lishughulikieni faster ndani ya siku 14.
  16. MWANAKASULU

    OCS Kwanga wa Kasulu, amswenka ndani m/kiti kijiji kupitia CHADEMA

    nawe naye zuzu tu , ded anaingizwaje? Ww mvivu wa kusoma unapapara. Mojawapo ya tuhuma alizonazo huyu mhuni mwenzako ni kuingilia vikao vya halimashauri ya kijiji sasa uendeshaji wa halimashauri za vijiji ziko chini ya ded na sio pccb. Amekuwa akiingia kwenye vikao vya halimashauri ya vijiji...
  17. MWANAKASULU

    OCS Kwanga wa Kasulu, amswenka ndani m/kiti kijiji kupitia CHADEMA

    Kama huamini basi Acha kuamini. Ungekuwa ni MTU Wa mamlaka usingeongea kwani nakala imo ofisini kwako. Ila kwakuwa haumini nenda Kwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya ndani, au ofisi ya RPC KIGOMA,OCD KASULU,DC KASULU NA DED KASULU. Other wise unakaribishwa Kata ya Kwaga uongee na Wananchi upate...
  18. MWANAKASULU

    Mkakati Mzito waandaliwa na CCM kumchonganisha LIPUMBA

    Hakuna binadamu ndani ya ccm kupanga mikakati na kupita maamuzi na makusudi ya mungu kwa watanzania kukombolewa na ukawa kwa mara ya pili.
Back
Top Bottom