Search results

  1. Spetsnaz

    Serikali yawataka wakulima wa korosho kurudisha fedha, korosho zao hazina ubora

    Wakulima walipeleka korosho zao kwenye vyama vyao vya msingi, mzigo wote uliokusanywa katika chama cha msingi ulichanganywa na kusafirishwa kwenda kwenye maghala ya chama kikuu. Sasa sijui wanajuaje kuwa korosho hii "iliyo chini ya ubora" ni ya mkulima flani. SMH 🤔 Poleni sana wakulima.
  2. Spetsnaz

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    ....mbinu chafu zikiendelea. Najiuliza ni lini baadhi ya watanzania wenzangu wataweka utaifa mbele badala ya kukubali kutumiwa.
  3. Spetsnaz

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Another Hollywood script which leaked two weeks ago....hahaha! Sanduku la kura ndo utafiti wa kweli..
  4. Spetsnaz

    Hela ya Richmond inalipia kampeni za UKAWA??

    Wakati mwingine tuongee kwa facts. Hela ya Richmond maana yake ni nini? Issue ya Richmond ni ya kimkataba, kwamba uliiumiza Tanesco. Leo mtu anakwambia hela ya Richmond. Utterly nonsense!!
  5. Spetsnaz

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    ....Ndiyo naani!? :noidea: Labda wavifute vyama vinavyounda ukawa, but kwa style hii...they're just wasting their time and money.
  6. Spetsnaz

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    ...kwamba wanafikiri watamtingisha Mbatia!? Too late....hata akitoka Mbowe! No turning back!
  7. Spetsnaz

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Mind games....Akitegemea EL atajibu ili majibizano yaendelee na hivyo atumie muda wake kujibu hizo shutuma badala ya kushughulika na kampeni na mikakati ya ushindi, na pia ili asahau kufuatilia "mbinu chafu za adui".
  8. Spetsnaz

    Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    Sikumbuki kumwona Hayati J. K. Nyerere kwenye mavazi ya njano na kijani.. 😂😂
  9. Spetsnaz

    Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa CCM au ni mtumishi wa umma

    Huyu jamaa ni bingwa wa Hollywood scripts...
  10. Spetsnaz

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Wasiwasi wangu ni hujuma kwenye kura.. Sijui wamejizatiti vp
  11. Spetsnaz

    Nimetapeli watu wengi sana, nimechoka na uganga feki nahitaji kuacha

    Mweleze Muumba wako; yeye pekee ndiye anayeweza kukutoa kwenye huo ufidhuli, kukurudishia amani na kukupa njia nyingine ya kupata riziki...siyo wana-JF.
  12. Spetsnaz

    Gazeti la Uhuru: Vijana waliomsindikiza Lowasa kuchukua fomu jana ni VIBAKA

    Hili gazeti halifai hata kwa kujipepea.
  13. Spetsnaz

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sijui ni kwa nini hatusajili defensive midfielder ambaye ni kifaru. Can alivyoingia ilisaidia sana maana aliruhusu Milner na Henderson kupanda, mashambulizi yakawa mengi zaidi. BR hataki kukubali kuwa formation ya lone striker haifai.. Tuliona msimu uliopita Balotelli alichemsha, leo pia kwa...
  14. Spetsnaz

    Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    Ya nini kupigizana kelele!!? ....Hivi ile namba ya kutoa taarifa ya mwendo kasi si ipo!?
  15. Spetsnaz

    Zitto na Hamphrey Polepole wauponda UKAWA

    Isomeke... "UKAWA na wafuasi wake wauponda mfumo wa utawala uliopo"
  16. Spetsnaz

    Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Wanategemea wapone kwa bao la mkono kwa njia hizi...
  17. Spetsnaz

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Kuna siku almanusura niipasue pasue TV yangu kwasababu ya vepa alizokuwa anaongea huyo bwana. Now days nikisikia jina lake tu nawahi ku change channel. REDET na Bana ni majina yanayotapisha hata phenergan haisaidii.
  18. Spetsnaz

    UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    ... Waongezee urojo ntalipa.
  19. Spetsnaz

    Chiku Abwao: UKAWA ni genge la Wafanyabiashara na Mafisadi wapya wanaonyemelea Ikulu

    Waandishi wetu wa habari hebu nanyi muwe mnaangalia mtu anayeita press ni nani kabla ya kuitikia wito. Itendeeni haki taaluma yenu!
Back
Top Bottom