Search results

  1. D

    Kwa haya CHADEMA mnakosea

    Imetulia
  2. D

    Shirika la Nyumba (NHC) ni la matajiri

    Sikuamini machoni na masikioni baada ya kuhudhuria semina iliyohusisha mawakala kutoka NHC na Wafanyakazi wa St. Johns University of Tanzania a.k.a Mazengo compus. Kilichoniacha hoi ni kwamba wanatushauri tukanunue nyumba za Medeli residential apartment na bei ya ofa kama alivyosema mtoa mada ni...
  3. D

  4. D

    Tundu Lissu yuko wapi sikuhizi? namtafuta sana

    Tundu Lissu! Tulishazoea kumsikia akichachafya kila kona ndani na nje ya bunge, siku hizi Tundu Lissu yuko wapi? maana sio Arumeru wala Kitumba hajasikiki hata kidogo, naombeni msaada kujua yuko wapi Lisssu kama mwanaharakati, Jembe, mpambanaji n.k
  5. D

    Tundu Lissu yuko wapi sikuhizi? namtafuta sana

    Wadau naomba mnisaidie katika hili?, Tulizoe kumsikia kijana wetu, jembe letu, mwanaharakati mwenzetu, mpiganaji n.k akichachafya ndani na nje ya bunge laki tangu bunge lililopita sijamsikia popote pale sio Arumeru wala Kirumba, naomba kujua hili jembe limeingia mitini wapi? Kama kuna mtu...
  6. D

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Duuuuuuuuuuuh, hii sasa noma zaidi
Back
Top Bottom