Search results

  1. M

    Posho kwa wajumbe imetoka leo saa 5 jioni wajumbe wameondoka

    kama wanatoa michango iliyoenda shule ninyi munaipuza na kuweka yenu makapi mnatarajia nini. wayasikilize makapi yenu.!? tunaiunga mkono kambi ya upinzani.
  2. M

    Mulongo: Sijawahi kutuma ujumbe wa vitisho kwa Lema

    Hii ndiyo picha halisi ya jeshi la polisi. Hawana pa kujificha. Pia hotuba/taarifa ya kambi ya upinzani iliwasilishwa na Mheshimiwa Sugu kuhusiana vitendo vya ukiukwaji wa utawala bora na haki za binadamu. Jamaa zetu hawa ni vinara. Mauaji ya Waandishi wa Habari na Raia ni Vinara. Rushwa, tafiti...
  3. M

    CHADEMA mnasemaje kuhusu gesi ya Mtwara?

    Mbona hatuoni chochote tofauti licha ya kuwepo gesi ya Songas toka Mkuranga hapa jijini Dar? Hiyo gesi ya Mtwara itaongeza nini? Fanyeni miujiza kwa gesi hiyo tuliyonayo kwa sasa ya Songas na kisha tutafikiria baada ya miaka kadhaa kuleta ya Gesi ya Mtwara DAR
  4. M

    Simbachawene, wanaotaka gesi ibaki Mtwara kwanza si wapinzani bali ni wananchi wazawa

    Umetokea mkanganyiko wa kauli kutoka kwa watendaji wa serikali, hususani wananchi kuhusiana na kunufaika na gesi ya Mtwara. Mfano mdogo tu ni wa Naibu Waziri Simbachewene ambaye anawashutumi wapinzani kuhusu kauli zao kwa wana-Mtwara. Sasa naamini kuwa hata James Mbatia, Mwenyekiti wa...
  5. M

    CHADEMA mnasemaje kuhusu gesi ya Mtwara?

    Angalia maoni haya pengine una cha kujifunza. Hawa jamaa sasa wamepevuka, tuwape nafasi na si kuwapuuza. Walikuwa nyuma siku na hata hizo raslimali za kwenu zimeshindwa kuwainua mpaka leo. Ndio maana hata wewe ukipangiwa ukafanye kazi kule, unakwenda kama siyo kukimbia kabisa na kubadili fani...
  6. M

    Gharama ya barabara ya morogoro ni shilingi ngapi

    Tafadhali, naomba mnijulishe gharama ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, iliyojengwa miaka ya 2000 hadi 2002 kuanzia Ubungo mataa hadi Mlandizi Pwani. Pia kama mna taarifa za ziada. Je ulikuwa ni mkopo au pesa taslimu za Kitanzania. Pia naomba mnijulishe warrant/guarantee yake ilikuwa ni kwa...
  7. M

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Huyu msangi ni muuji wa kawaida na ni tabia yake. Kumtambua ni mwanzo mzuri wa kuanza mapambano yetu. Huyu ni adui namba moja wa madaktari na familia yake ni adui namba mbili. Kama aliazimia kuua na akaishia kutesa, kung'oa jino bila ganzi, kung'oa kucha, ni unyama tosha. yeye katumia bunduki...
  8. M

    Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    Sijafurahishwa na kwa kitendo cha polisi/usalama wa taifa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya dr. Ulimboka. Natambua kuwa hii ni tabia ya polisi. Wasione wao ni maana sana katika Tanzania hii. Kama ni bunduki na madaktari wanazo. kama ni kuuwa na madaktari wana uwezo wa kuua. Hii tabia ya ukibaraka...
  9. M

  10. M

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    Kweli usemi wa makupe ambao nyerere aliukemia sana, naona bado upo. Hili jamaa lina mawazo mgando. Waganga wanafanya kazi katika mazingira magumu mno. Jiulize kwa nini wao wanakimbilia india na ulaya? wamenyea kambi na wanaogopa kutaza kinyesi chao. Hawana hoja za msingi na hawawezi kujitetea...
  11. M

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    Binafsi huyu jamaa sikuwahi kumtambua kama rais kwa sababu ya kuchakachua uchaguzi uliopita. Najua ameyaweka makopo mengi kulinda maslahi yake. Hata jamaa wengine wazuri aliowateua ameishia kuwalisha sumu. makopo yote hayafai, yameoza na yananuka. Nawaunga mkono madokta kwa sababu hii ndiyo...
  12. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Huyu jamaa na maoni ya kifisadi, huna aibu. Kupe mkubwa we... Na ninyi mtakuwa watu kwanza kutafuta pa kukimbilia. Angalia Syria, usifikiri jeshi litaunga mkono ujinga. Kote zilikoanza vuguvugu jeshi limejitenga.
  13. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Inasikitisha kupata news kama hizi. Tafadhali, naomba tujadili hatima yetu na hatua za kuchukua na ikibidi kupanga mikakati! Naamini wana-usalama wa Taifa wapo kwenye jamii forum na wanaangalia tunachojadili. Tujipangie Bengazi, Sirti, Mastira na Tripol ziwe wapi. Sisi ndiyo nchi na...
  14. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Inasikitisha kupata news kazi hizi. Tafadhali, naomba tujadili hatima yetu na hatua za kuchukua na ikibidi kupanga mikakati! Naamini wana-usalama wa Taifa wapo kwenye jamii forum na wanaangalia tunachojadili. Tujipangie Bengazi, Sirti, Mastira na Tripol. Sisi ndiyo nchi na serikali, na...
  15. M

    Mkakati wa maandamano ya kupinga kusomwa kwa mara ya pili kwa muswada wa kuunda katiba mpya

    Ndugu Watanzania Wany'onge, Nina masikitiko makubwa kwa hayo ambayo yanatendwa na walioshikilia dola. Kusomwa kwa mara ya pili kwa mswada na kushindwa kuwasikiliza walio wengi (Watanzania) kwa kusingizio cha kuwakilishwa na Wabunge wao, ni usaliti tosha. Kama walivyoongea wadau wengi kuhusu...
  16. M

    Mkakati wa maandamano ya kupinga kusomwa kwa mara ya pili kwa mswaada wa kuunda katiba mpya

Back
Top Bottom