Search results

  1. T

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Mara nyingi napata tabu kusikia humu ni nyumba ya great thinker kwa kuwa tabia za watu wengi humu si wazuri kufikiri, kujenga hoja na wengi ni wadandia hoja. Kwenye bandiko langu nilijaribu kuweka maelezo kuhusu Quran lakini pia nilisema moja ya mafundisho ya Mtume Muhammad kwa waumini wa...
  2. T

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    In Islam, we are taught that God has given us a mind and the faculty of reason to look at things objectively and systematically for ourselves. To reflect, then to question, to reach the truth. Religion should not be accepted blindly, as some religions seem to do. In those religions, you are...
  3. T

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Kwanza ni jambo nzuri kupata mjadala kama huu, lakini napenda kuonyesha mleta mada hii haikuwa mtu wa kwanza kujadili mada hii kwa kuwa hata yeye amekwenda kuchukua sehemu nyingine na nitaweka source mojahapa Answering Muslims: 2011 UONGO WA MTUME MUHAMMAD NA QURAN KUHUSU KUPASUKA KWA MWEZI NA...
  4. T

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Nafikiri kusema ni juu yangu utakuwa umekosea sana mimi nimepata muda wa kupitia maelezo na ukifananisha na hali ilivyo sasa naona ipo haja ya kwenda kwenye mfumo mwingine "muda ndio msema kweli"
  5. T

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Ni ngumu sana kujadili kitu ambacho hujakiona wala kisoma napata shida kujadili hili, lakini ufahamu uwekezaji wa Mo kwa Simba siyo wa mtu ni kampuni so hata kama Mo akifa still mkataba utabaki mpaka miaka mitano ndio utakuwa unapaswa kujadiliwa upya uvunjifu wa mkataba huu pande zote zitahitaji...
  6. T

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Moja ya kufanya mabadiliko ni ku risk hakuna jambo lolote ambalo unaweza fanya na hasa kwenye uwekezaji bila ku risk So mimi na fikiri kama Simba wamehitaji kuendelea au kubadilisha mfumo wa uendeshaji shughuli za club ni lazima wakubali ku risk Ukisema Mo alishindwa kuendesha vilabu fulani...
  7. T

    Kama tunaaminishwa kuwa Mungu hakosei inakuwaje hakuna kiumbe mkamilifu chini ya jua?

    Ukisoma vizuri sifa za Mungu wakati alipo muumba Adam utaona kwanini Adam alichaguliwa kuwa kiongozi wa dunia kwa kuwa baada ya Adam kuumbwa Mungu alimrudhuku Adam kwa kumpatia akili pamoja na yakini. Sasa akili ndio hii ambayo inatupa utashi wa maamuzi kwenye matendo yetu ya kila siku kwenye...
  8. T

    Kama tunaaminishwa kuwa Mungu hakosei inakuwaje hakuna kiumbe mkamilifu chini ya jua?

    Kuna mchangiaji mmoja nimeona amejaribu kuweka tofauti vizuri tunapo taka kujadili kuhusu Mungu ni lazima kuwepo na utengano wa uhalisi na kiroho. Mjadala wa uweza wa Mungu hauwezi pimwa kwa muonekano wa uumbaji wake kwa kuwa kwenye maandikao mengi amekuwa ana kumbusha moja ya sababu ya tofauti...
  9. T

    *Mkulima wa Matunda soma hapa*

    Pears unachukua na vp bei yenu je pia limao mwahitaji na kwa wingi gani?
  10. T

    Mtanzania Maskini

    Mara tatu chakula bora? Kwa hiyo kipimo cha umasikini ni kwenye kula mlo bora tena mara tatu?
  11. T

    Mtanzania Maskini

    Habari wadau Kumejengeka tabia kwa viongozi wetu wengi kutumia neno mtanzania maskini, au mwananchi maskini Matumizi ya maneno hayo kwangu mimi naona imekuwa kama kichaka cha kuficha mambo muhimu. Je ni vigezo gani hasa vinatumika kutambua huyo mtanzania maskini? Je vipimo hivyo vina usahihi...
  12. T

    Mimi ni Dalali: Niulize chochote unachohitaji au unachotaka kuuza au kununua

    Nina viwanja Eneo Mapinga Size vipo kuanzia 1200sqr mita na kuendelea zaidi pm
  13. T

    Kumbukizi: Miaka 6 sasa hatupo na Muammar Gaddafi!

    Kaka yangu Paskali nimependa sana andiko lako, na hasa ulipo jaribu kumuelekeza bwana Professor, ukweli ni kwamba mara nyingi tunapenda kubisha vitu ambavyo havina msingi, hata mara nyingine unapata tabu sana kwa wasomi kutuangusha kama ulivyo sema Ukweli utabaki kuwa Gadaffi alikuwa ni nguzo...
  14. T

    Sudan kusini ina uwezo wa kupeleka mafuta yake zambia kupitia Dar kwa bomba ikitaka

    Mafuta ya Uganda ambayo wanataka kupitisha kwa bomba kwenda Tanga ni ghafi yanatakiwa kwenda kusafishwa ili wapate aina tofauti za Mafuta ambayo tunazifahamu kama desel,petro, mafuta ya taa na kadhalika kwa maana nyingine bado yajawa tayari ya matumizi na bomba la mafuta la tazama hili lina...
  15. T

    Pambano la Cheka Na Mserbia

    Watu wa ngumi watakuja na maelezo mengi kwenye hili jambo, ila jambo moja kubwa bado ukweli utabaki umesimama kuwa Cheka amepigwa na huyu jamaa na kilicho fanyika ni ubakaji mkubwa wa matokeo ya ngumi Hatuwezi fika mbali kwa kuwapa mabondia wetu ushindi wa mezani tunafahamu karibuni huyu bwana...
  16. T

    Pambano la Cheka Na Mserbia

    Nimesikitishwa sana na nilicho kishuhudia leo, siwezi amini kama ni kweli nilikuwa macho kutazama pambano hili lililosifiwa kuwa kunamtu atapelekwa hospital akiwa mahututi,nafikiri hakuna jipu kubwa kama hili ndugu waziri wa michezo ana takiwa kuanza nalo hatuwezi kufikisha michezo mbali kukiwa...
  17. T

    Naibu spika Dr. Tulia hajui FFU ni kitengo cha Jeshi la Polisi

    Mleta mada unaweza kuwa sahihi kwa jinsi unavyo taka wewe kuelewa, kwa kuwa kila mtu anaweza soma hicho kipande na kuchagua yeye anataka kuelewa vipi,ila ni kweli kwamba jeshi la polisi ni moja ila lenye vitengo tofauti si kwa majina tu hata kwa mafunzo pia, na hili hata kambi na makazi yao huwa...
  18. T

    UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

    Raul,pilor,jeremiah,Gatuso,morientes,cafu,nesta,maldin,seedof,
  19. T

    Uwepo wa Aliko Dangote katika sherehe za kuapishwa Magufuli kumepunguza imani yangu kwake

    Jamani na fikiri kuna watu wazito sana kufikiri hii ni kutokana wao maamuzi yao hupenda kupangiwa na watu wengine, hivi kuna mtanzania ambaye ametaka kuwekeza kwenye kiwanda cha cement amekataliwa? Maana tusije kuwa tunawasemea watu hebu toa mfano mtanzania ambaye anataka kujenga kiwanda cha...
Back
Top Bottom