Hi Arola! Katiba siyo siasa! Katiba ni zaidi ya Siasa, Hii dhana inatugharimu sana wa TZ, naomba ianze kufutika kuanzia kwako. Katiba ni mahusinano kati ya watawala na Watawaliwa, Walipa kodi na watumia kodi, Namna bora ya kutawala na kutawaliwa, namna bora ya kulipa kodi na kutumia kodi, namna...
Hi Dr.Mkumbo! Lailiani Mayu! Habari za Masiku,pole kwa yote Rais wetu wa Zamani wa DARUSO.
Nashukuru kwa mada yako nzuri lakini nina mchango ufuatao:
Inaaminika kuwa Lengo Mahususi la Mkakati wa Mabadiliko 2013 na Movement yenu ni kutaka kuwafanya watanzania waamini kuwa Hakuna tofauti kati ya...
Tumia common sense tu majibu yote katoa Zitto Hapa chini "Akifafanua kuhusu mshahara wa Waziri Mkuu Zitto alisema Waziri Mkuu kama Mbunge analipwa Milioni 11.2, Kama Waziri anaongezewa kama Milioni 9.8 na kama Waziri Mkuu anaongezewa tena kama milioni 5 alisema Zitto. ".
Sokoro Mwita, hiyo Pingamizi ya Refferundum ndiyo wanayoitaka ili Tuendelee na Hii Katiba mbovu tuliyonayo kwa kufanya hivyo tunatekeleza malengo yao. Yaani Katiba ileile, Tume ileile Ushindi wa kishindo uleule!
Pole MP Aweda CCM kinafanya mzaha hata kwenye mambo ya Msingi! Kama wangekuacha wewe wakamchukua mtu mwenye merits ingekuwa Ok! Lakini! Hayo ya Ilala yapo Countrywide!
Msafiri CDM iliyaona mapema? Kuanzia kwenye sheria wakatoka nje ya Bunge tukawazomea, Ikaja Kwenye kutoa maoni ya kuboresha Muongozo hatukujali, Mwisho mkutano wa Temeke Mwisho baada ya Kutoka Bungeni Tundu alitoa Nondo.
Wakuu mkitaka kumhukumu zito soma Paragrafu yote hii,nachukulia mawazo yake chanya! Usichulie tungo ya Mwisho tu hutatenda haki . Nadhani kaeleza vyema! Kuna watu wanachukua mstari wa mwisho tu!
Wadau nilihamasisha maoni Nimetoa Kama ifuatavyo(We must live the talk).Nimetimiza wajibu wangu Kazi kwenu.
Mapendekezo ya Kuboresha Mwongozo wa Muundo ,Utaratibu wa Kuwapata Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya na Uendeshaji wake
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Katika Awamu ya Kwanza ilikuwa...
Wadau Just a reminder!
Mwisho wa kuboresha Mwongozo huu ni 14 Februari 2014,bado siku moja tu! Naomba kwa kusukumwa na uzalendo tuboreshee mwongozo huu siamini kama uko perfect!
Wadau Just a reminder!
Mwisho wa kuboresha Mwongozo huu ni 14 Februari 2014,bado siku moja tu! Naomba kwa kusukumwa na uzalendo tuboreshee mwongozo huu siamini kama uko perfect!
Poa mkuu Nyalotsi Pamoja sana.
Lakini ukipata fursa tusaidiane kupinga wajumbe kuchaguliwa na WDC, kata yote iitwe ,WDC ianadae mkutano tu na wananchi/wakazi wote wa Kata wawapigie kura wawakilishi wao wanne(4) ili wawe wawakilishi wa Kata na si wa WDC!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.