Search results

  1. Z

    CCM yapendekeza wagombea binafsi kwa nafasi zote ukiwemo urais

    Kwahiyo kwako wewe Baloteli hana akili sio!!? Ni ujinga kufikiri wewe uko sahihi kuliko mwenzio, na hili ni tatizo la waTanzania wengi
  2. Z

    Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    Adhabu nyingine pendekeza wewe kwa makosa hayo!!? Usiseme tu hakuna adhabu nyingine nenda mbele kidogo kwa kupendekeza aina ya adhabu ambayo wewe unadhani wanastahili mfano kupewa onyo na kuwa chini ya usimamizi wa mwaka mmoja
  3. Z

    Joseph Mbilinyi (SUGU) MB afanya kweli Mbeya Mjini

    Sishabikii machinga kuwa barabarani lakini nahoji kwa nini barabara kubwa kama ile imepita katikati ya mji mkubwa kama Mbeya!? Kwanini isinge kwepeshwa kama kuanzia Uyole mpaka Mbalizi hivi!! Hata kama machnga wasingekuwepo hapo Mwanjelwa baada ya miaka 5 kutoka sasa bado kutakuwa na foleni kwa...
  4. Z

    Mafuru resigns from NBC

    Sure! siku zote walikua na visa card na ATM zinazopokea visa, uko sahihi mkuuu pengine you are too reluctant to see changes
  5. Z

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Mjomba kuwa makini kasema breaking news Radio One
  6. Z

    CHADEMA inatakiwa kuwa makini juu ya mwanajeshi wa JWTZ

    Sio outputs tu mkuu outcome and impact, mana kweneye M&E field output ni kitu kidogo sana like shule zao za kata ni output "utawasikia tumejenga shule 500" watalaamu tunauliza ufaulu ukoje kutoka hizo shule? hapo ndipo CCM hushindwa.
  7. Z

    Napinga sehemu ya malipo ya Lema...

    Ndugu Vikwazo; Kuna mambo mawili nayaona hapa; 1: Hoja ya kwanza ni ukaidi na maslahi ya CCM na serikali yake, kwamba CDM walipendekeza kutazamwa upya kwa sheria na kanuni zinazoruhusu posho kwa mfumo mzima wa serikali. Lakini bwana Vikwazo utakubali au kukumbuka jinsi wabunge wa CCM walivyo...
  8. Z

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Marando anawashambulia majukwaani akina Nape na wengine kwa kuwa walikwapua pesa na kuziingiza kwenye kampeni za CCM, ni swala limezungumzwa sana lakini kuwatetea sioni tatizo, kwani ndio kazi yake hiyo. UTATA UKO WAPI AU UNAFIKI UKO WAPI???
  9. Z

    ukweli kwanini serikali ya CCM imekubali LEMA APEWE UBUNGE wake

    Taifa la Mungu linaangamia kwa kuwa na watu waaina yako, sasa mulipe hizo 400 milion za fidia
  10. Z

    Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

    He deserves it!!? After all these mauchafu kwenye kuripoti habari za Rais, Is Michuzi that person? Only time will tell.
  11. Z

    Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

    " Acha kudumaza mawazo pevu na chanya kwenye ustawi wa nchi, kuachiwa huru kwa Jerry kwa mara nyingine tena inadhihirisha jinsi kiu ya haki na kweli haiwezi kushindwa kwa fitina, chuki na udhalimu wowote ule. Huu ni ushindi mkubwa kwa wachukia rushwa na aina yeyote ya udhalimu, na unyonyaji...
  12. Z

    CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

    Kwa mujibu wa wanasheria kulikuwa na njia mbili tu 1) Rais asisaini muswada ili urudi bungeni upya kujadiliwa 2) Au asaini then urudishwe bungeni ukafanyiwe marekebisho then ausaini tena sheria ya gharama za uchaguzi. Kwa maoni yangu CDM walimtega JK kumwambia asisaini muswada wakati...
  13. Z

    NCCR Mageuzi yakataa kushiriki mazungumzo

    Kuweka uhai zaidi kwenye mfano wa kwanza wa Kafulila CCM walifanya jumla ya mikutano 1000 ya kampeni mwaka jana lakini hakuna hata mkutano wao mmoja ambao walisema swala la Katiba japokua CDM na CUF walikua wakinadi hili. CCM ni wizi mtupu
  14. Z

    Nape Nnauye aibatiza jina CHADEMA

    Kaka huyu chalii kajimaliza kabisa kisiasa, mana sidhani kama atakuja kuwa mtu tena wa maana hapa ndio mwisho wake.
  15. Z

    Kumbe Jakaya hakukosea kufanya kampeni na familia yake!

    Is not very relevant for African politics
  16. Z

    KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa

    Hakuna shaka juu ya uadilifu wa Dr Slaa, kwanza hao wakongwe wanamisimamo ya kitaifa zaidi ukiachana na popo wengine walio bungeni ambao wanajifanya hawajui balaa
  17. Z

    Waziri mkuu akimbia maswali leo bungeni

    Kazi kweri kweri, vita ni vita muraaa usikimbie muraaa!! Na kauli zake za "mimi inanipa shida kwa staili yenu ya "peoples power"" leo kasepa
  18. Z

    CHADEMA wateka Bunge

    Kuna hoja kama mbili tatu hivi Watanzania tunapaswa kuzifahamu Ikumbukwe CCM si kwenye Ilani yao (2010-2015) na wala kwenye mikutano yao ya kampeni si ya udiwani, ubunge, wala urais hakuna hata sehemu moja walisema kwamba watabadili Katiba. Hivyo ni busara kwao kuwasikiliza wale waliosema...
Back
Top Bottom