Search results

  1. K

    CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

    Da Mrema nadhani atakuwa alikuwa anaenda kujisaidia,inawezekana aliingia bungeni bila kupitia toilet sasa alivyoona wabunge wa chadema wanatoka akaamua naye aunganishe.nasema hivyo sababu najua mrema si mpinzani siku hizi
  2. K

    Wadau naomba mniambie faida ya nyumba ndogo

    wadau wote wa JF katika column hii plse naomba mniambie faida ya nyumba ndogo na kwa nini wanaume walio wengi wanapenda nyumba ndogo,kuna jamaa yangu kaoa juzi tu lakini tayari kwa sasa ana nyumba ndogo
Back
Top Bottom