Search results

  1. B

    Paul Makonda piga kazi ila tu zingatia yafuatayo!

    P yanaukweli hayo???? tabia ni kama ngozi huyu mtu hawezi kubadilika kwa hulka zake!!!
  2. B

    CCM yagawanyika

    Kuna mtu analazimisha watu waishi maisha ya msimu ambao tayari umeshapita, inafikia hatua mpaka analazimisha kupata baraka kutoka kwa MFU! Natamani kumjua baba wa kiroho wa huyu mtu.
  3. B

    Nilimuonya akakana katu, leo kajikamatisha mwenyewe

    Shida kubwa ni tamaa ya fedha na mali!!!!!
  4. B

    Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Yule jamaa ni kama vile viledio vya kichina!!! Vina sauti mpaka mtaa wa tatu!!!
  5. B

    Hali si Shwari Ndani ya Azam FC, Wachezaji Hawamtaki Kocha Dabo

    Timu ina maokoto lakini dah!!!!!
  6. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia tafadhali naomba ruhusa yako ili nimtaje huyo Kigogo Mstaafu anayekuchukia sana, kwani hata Mimi pia simkubali ng'o!

    Ndiyo maana Madam nae karusha kitu kizito cha serikali kutolipa mara mbili kwa maana ukiwa unatumikia wananchi na unalipwa mshahara, hautalipwa kiinua mgongo cha kustaafia..!!
  7. B

    Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

    Juzi hapa alikuwa anashangaa samaki aina ya sangara wazazi kupungua ziwa victoria na itafanya tubakie n swimming pool wakati yeye mwenyewe wakati ni waziri wa mifugo na uvuvi alisaini sheria ya kuwavua hao samaki wazazi!!!!!! Huyu jamaa ni MNAFIKI Pro max, aende tu akajadili waganga wa kienyeji...
  8. B

    Wazazi hawataki nioe binti wa Kihaya

    Dah! Maneno haya ayasome mara mbilimbili, yana kitu kikubwa sana ndani yake...
  9. B

    Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

    Nikuulize swali, hivi wewe unafikiria anaweza toka wapi kwa mfano????
  10. B

    Uchaguzi 2020 Hakuna kulala, twendeni tukapige kura

    Dah!!!! hiyo siku hiyo dah!!!!!!!! Mwenyezi Mungu atupe pumzi dah!!!!!!!
  11. B

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Naona tuanze kupanga topic zitakazojadiliwa kwenye mdahalo... mi naanza 1) Maslahi ya watumishi. 2) ....
  12. B

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Na kile kitabu kidogo kidogo hivi ambacho aliwachimba biti wengine lazima watembee nacho.
  13. B

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Hii nimeipenda, acha wakae kubanana na akina mama wenye nyumba kila mwisho wa mwezi. Ila ukiwa na kajumba kako nani atakaeukipigia kelele!!!???
  14. B

    Nenda kapumzike Professor Assad wenye macho tumeona

    Kalime tu baba, tunakuombea wasikunyime na mvua!!!
  15. B

    DPP atoa muongozo kuhusu Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi kulipa fedha walizotafuna ili kusamehewa

    Ushahidi umekosekana sasa wanaona watafute ushahidi wa mtuhumiwa kukubali mwenyewe... hii tz hii!!!
  16. B

    Kongole kwa uongozi mzima wa TANROADS Mara

    Utakuwa unamtafutia mtu nafasi flani vile!!!!!
Back
Top Bottom