Kwani kuna shida gani akijiita rais wa meru , mbona kuna marais wengi tu na hawachukuliwi hatua mfano rais wa TFF , rais wa chama cha walimu ,rais wa tucta ,nk
Hata Waingereza walikuwa na matumaini kama hawa kwa Godorn Brown ,maana jamaa alikuwa kichwa kwny mambo ya uchumi na alifanya vema wizara ya fedha, lakini alipokuwa PM mambo hayakwenda kama walivyotarajia so tumpe muda tuone
Cha kusubiri ni report ya CAG ya mwakani basi ,maana ofisi nyingi za serikali huwezi kupima utendaji , urasimu ndo umejaa na very poor customer service, wanahitaji training kwa kweli
Kushindwa uchaguzi sio kwamba wananchi wote wamekukataa , na ndo maana hakupata kura 0 , pia si kwamba huna uwezo wa kazi , kunaweza kuwa na sababu nyingi sana ndo maana mshindi huwa mmoja , ikiwemo pia chama unchogombea nacho , inawezekana pia angegombe kwa ticket ya chadema angeshinda pia au...
Wamasai hata ukiwasemea bado wanahitaji mabadiliko yao kwanza (mentally) anaweza kufa na njaa na anao ng'ombe 1000, analala na njaaa na ndani kuna laki moja , na ni wabishi wa kupita kiasi , last week kuna mmasai kafa kisa alikua anatoka shamba yuko na trekta ,mvua kubwa ikanyesha akawa anapita...
Mbona Lembeli na Maige wanakaa ! Mbona EL na Mwakyembe wanakaa ! Bungeni sio nyumbani kwako na si lazima usemeshane na kila mtu , tunachohitaji ni hoja na namna unavyotetea jimbo lako But Kwa Mbatia Sijui atatetea KAWE !!!!!!!!
Hee ! kumbe tunaangalia tabia za watu na sio uwezo wa kufanya kazi ! how abt Madoctor na maprof. ambao wako vizuri kitaaluma na nje ya kazi zao ni walevi wanaotembea na mabar meids !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.