Search results

  1. M

    miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    dah Kweli kama ni MAJARIBU sasa hili ni kiboko.Nashindwa hata pakuanzia kuchangia ngoja kwanza niendelee kulifikiria kwa undani zaidi
  2. M

    ni fanye nin kuhusu mke wangu?

    Ndugu yangu pole sana, kwa asilimia kubwa sasa hivi wanawake wanapenda sana pesa na ni rahisi kushawishiwa.hata marafiki nao siku hizi tamaa zimewazidi sana,Ila kwa hatua ambayo amefikia mkeo ya kubeba mimba akidhani kwamba atakubambikizia na wewe utakubali bora umuambie Ukweli ajue. Bora hata...
  3. M

    Kwa uchangiaji huu wa mada kutoka kwa wadada wa jf nyumba ndogo ni ngumu kuzitokomeza

    JF kuna wachangiaji wengi kwenye mada zetu ,Kwa tabia ya binadamu yoyote ni mara chache sana akaweza kukubali makosa,Challage zinazoletwa na dada zetu humu ndani ya majadiliano ni kutokana na jinsi wanavyojaribu kujitetea,hata sisi wanaume ni wachache sana ambao tunakubali kuwa tumekosea...
  4. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    I wish ungenifahamu mama timmy,kuna wengine huku wamechangia na kuona kama nimeolewa.ila ukweli ni kwamba sikupanga kabisa kutoka nje.tatizo lako wewe unaona kama wanaume ni wakorofi,natamani ningekuelezea historia ya maisha yangu na mambo ambayo nayafanya kwa ajili yake lakini hakuna shukrani...
  5. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    Nashukuru sana kwa ushauri wako nimefurahi kwa jinsi ulivyochambua maelezo yako
  6. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    mkempia kweli huwa mnasema wanaume wakorofi lakini kuna muda mwingine huwa nyie mnazidi,kiukweli swala la kuzaa nje ya ndoa nilikuwa naona kama ni ajabu nilivyokuwa mdogo lakini nimeamini ule usemi wa KUWA UYAONE,NIMESHAYAONA MWENYWE
  7. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    :smile-big:
  8. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    Mjela Kati ya ugomvi nilionae na bibie huyo ni kuwaeleza watu matatizo tuliyonayo.hata kwa mchungaji akuombee hataki ajue ndio sembuse huyo mtaalamu wa saikolojia unayemsema??/
  9. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    nivea cheti changu kinaruhusu ndoa moja.Huo ndio mtihani nilionao
  10. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    NDUGU YANGU nimekaa na mawazo,Kuna muda nashikwa na hasira natamani nimuambie ukweli lakini naona kama naweza kusababisha madhara makubwa kama sio kwakwe,ni kwa yule mwanamke ambaye amekubali kunizalia mtoto wa kwanza,na amekuwa radhi kuniongezea mwingine,au hata kwangu pia maana nimeshaanza...
  11. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    kaka hilo nimelifanya,tena nimekwenda kwanza mimi maana nilikuwa nawaza nisije nikawa nawaza nipo fiti kumbe mimi ndio mbovu,nikaenda kupima spams nikakuta zipo nyingi za kutosha,nilichobakiza labda ni kupima DNA ya mtoto hilo sidhani kama linaumuhimu kama nina mpango wa kupata mtoto mwingine Nje.
  12. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    Ndugu yangu sio kukimbia kimbia,Hadi kufikia hatua ya kuamua kuzaa huko nje,ni Kiburi na maudhi yake,Kitu ambacho wakati wa uchumba hakikuwepo.mpaka imefikia hatua ya kwenda kwa waganga.Nimejitahidi kuwa mvumilivu kutokuongea lakini haisaidii. Kuhusu uhakika wa mtoto nina uhakika kwa sasilimia...
  13. M

    Nifanye nini cha Ziada????

    Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi. Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia...
  14. M

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Kilalenye mwanzo linamwisho wake.Naamini kila mmoja ana Dini yake na anaaamini katika imani yake.Hata wakati wana wa Izaeli wanatoka Misri FARAO na jeshi lake walikuwa hawaamini.NI MUDA SASA VYOMBO VYA HABARI,MITANDAO YA KIJAMII KUWAELEZA WATU/WANANCHI UKWELI JUU YA SERIKALI YETU,UZURI,UBAYA WA...
  15. M

    Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    Nimejaribu kusoma maoni ya wadau kwenye jf hasa kwa tatizo la Mutta,Hata mm ninatatizo kama hilo,kibaya zaidi mke wangu mimi ni mkorofi hataki kusikia ninalomuambia,nimejaribu kwenda nje mpaka sasa nimejikuta nikitoa mimba 4,nikijua kama labda nisubiri mwezi huu atashika mimba lakini wapi hadi...
  16. M

    CHADEMA msimpokee Makonda

    Nakuunga mkono asilimia milioni moja,CCM kwa sasa wanakaa kutafuta mbinu nyingi sana za kukizoofisha chama cha CHADEMA,Wameanza na kusema kuna ukabila,wameshindwa,wameanza kusema kuna ukanda=WAMESHINDWA,wameingia kwa kusema mara UDINI=Wameshindwa.SASA STAIL WANAYOKUJA NAYO SASA HIVI NI YA...
  17. M

    Je una tabia gani? Je u mwerevu au mpumbavu?

    ni mara chache sana mtu akapata bahati ya mwanamke mwerevu,Cha muhimu ni kumuomba sana Mungu upate kitu sawa na haja ya moyo wako
  18. M

    Chadema hakujiandaa kabisa

    Tatizo nilililona mapema sana wabunge wa CCM hawakutaka kabisaaa Rais akutane na CDM.Matokeo yake baada ya Jk kurudisha mchakato bungeni,Wabunge wa CCM wanaendeleza UBISHI WA KICHAMA.Bila hata kufikiria kuwa wanatakiwa kuwatumikia watanzania.NI WABUNGE WACHACHE SANA WENYE UZALENDO NA NCHI...
  19. M

    Mbunge Chiku Abwao apata ajili, anusurika kifo

    Mungu ndio Hakimu wa kweli,Hata wafanyaje kama mungu hakupanga wanajichosha tu nafsi zao,
Back
Top Bottom