Search results

  1. pinkmousse

    Kamati ndogo suala la posho yaundwa! Mbowe ndani!

    Kamati tena...kweli posho ni janga la taifa..sasa kamati ya nini...wafanye kazi huko!
  2. pinkmousse

    Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

    hawa viongozi wa dini na wa jamii zetu kwa ujumla wangekuwa wanatuambia ukweli wa mambo tangu tunazaliwa ili tusishangae wala kupata kichefuchefu...mtu unalelewa kudanganywa kila wakati...wangesema ukweli kuhusu mambo mengi mf. ushoga, kukosekana uaminifu katika ndoa, etc. watu tungekuwa...
  3. pinkmousse

    Wekeni ITV IBADA YA KUMUAGA DK MVUNGI

    asante, yani watu wema, wakweli, wasio na makuu, siku zote lazima wadhulumiwe...very sad!
  4. pinkmousse

    Wekeni ITV IBADA YA KUMUAGA DK MVUNGI

    sijui kwa nini, kifo hiki kimeniuma sana!
  5. pinkmousse

    Nimeshamtambulisha nyumbani lakini.........

    hahahaaaaaaa...JF raha sana..
  6. pinkmousse

    Msifunge ndoa kwasababu 'mnapendana'

    safi sana..wale wanaotoa mafundisho kabla ya ndoa wanatakiwa kuwa wakweli na kusema hayo yote
  7. pinkmousse

    Nampenda Sanaa Ila Simuoi Sio Wife Material!!!!!! Mhhhhhh! Hayaaaaaaa!

    hao wanaotaka wife material most of the times wao wenyewe sio responsible in most aspects so wanataka mtu wa kuwashika wasidondoke,watu wa kuwatunza na kuwavumilia udhaifu wao kwa namna yoyote ile wakati inatakiwa wote tuwe na sifa za kuwa wenza bora coz hakuna mtu anakuwa strong and supportive...
  8. pinkmousse

    Mbwembwe zote kwenye prison break kumbe ni.....!!

    eti wenyewe walioendelea wanasema usichague wa kumpenda na hawatilii maanani process ya ngono..wakati sisi huku cha kwanza kuwaza ni ile process inavyochefua na hawatuelewi kabisa na sisi tunawashangaa..majanga tu
  9. pinkmousse

    Uchoyo Kwenye Ndoa Nyingi Za Siku Hizi Ni Tatizo Zito Kwa Jamii.

    nakubaliana na wewe,msaada kwa remote works all the time na mnabaki kuheshimiana,ile ya kuhemeana kila siku ni ngumu unaweza kupoteza kichwa kwa mawazo maana ni kujazana negativity tu hamna kujengana hata kwa ideas za maendeleo
  10. pinkmousse

    Baba Mkwe anapokwambia uandike barua ya maelezo baada ya kugombana na mwanae!!!

    andikeni au myamalize wenyewe,kusikiliza kesi za ndoa inachosha ndio maana anataka maandishi,kila la kheri!
  11. pinkmousse

    Halima Mdee na Esther Bulaya...Hivi Urafiki Gani Nyie?

    mambo ya kawaida sana kwa close friends wa kike...mnakuwa karibu sana, mnatofautiana, mnapatana, maisha yanaendelea.Not a big deal!
  12. pinkmousse

    Hausigali ana masharti wajameni!!!

    umepatia kabisa
  13. pinkmousse

    Hili dogo tu linaweza kumfanya mume apunguze upendo

    if we both play our roles effectively even a house help is not needed in a household!
  14. pinkmousse

    Hili dogo tu linaweza kumfanya mume apunguze upendo

    jamani na sisi tunachoka!I f you want me to cater to all your needs then let me be a 100% wife,nikusaidie jukumu lako la kusaka pesa then I come home nifanye majukumu yote ya mke,hata kama ni woman wa Prov. 31 ni too much sasa!
  15. pinkmousse

    Vipindi kama hiki kwenye TV vinamlenga nani?

    English is sexy..hata ukiota ndoto kwa kiingereza unaongeza miaka ya kuishi..lol..twasn't me!
  16. pinkmousse

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    wiki tatu zilizopita nilisikia tape mtaani kuhusu kutafuta pepo kwa kupunguza makafir! niliskitika sana coz tumesoma wote na kula wote miaka yote..why all this hate?
  17. pinkmousse

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Amen!kila kona ya dunia ni majanga tu si hapa si wapi..hakuna pa kukimbilia
  18. pinkmousse

    Hatimaye waliomkata mkono Mwigulu wakamatwa

    dah!hizi imani potofu zinachefua. Halafu jina la victim nikajua ni yuleee wa scarf shingoni
  19. pinkmousse

    wanawake

    Um350m3k4!
  20. pinkmousse

    wanawake

    mkuu hapo kwenye matawi hapo umeniacha hoi...mei mosi njema
Back
Top Bottom