Search results

  1. M

    Watu wa aina hii ndio wanaotuponza

    Mkuu hata kama wangekuwa wanajitambua,Mimi binafsi siamini kama mpiga kura wa Tanzania na kura yake kama inachagua kiongozi,yaani nyie watu kama mmeshindwa kujifunza kwa yaliyotokea Zanzibar 2015 basi nianze kuamini TZ hakuna upinzani wa kweli
  2. M

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania ianze kutoa misaada hata kwa nchi za Ulaya

    Asante mkuu,hapa kwetu,hasahasa kwa wanaccm na mwenyekiti wao maendeleo ni flyovers,barabara,reli ya kiwango cha standard gauge na si elimu ya watoto wao na wajukuu wao.huku wakishangilia mwenyekiti wao kununua ndege,usiwaulize watoto wao wanakaa darasa moja watoto wangapi? Usiwaulize mwalimu...
  3. M

    Rais Magufuli hawezi kuinyoosha nchi, anaivuruga Tanzania

    mkuu kama unaamini 80% ya watanzania ni masikini kwa kuwa hawafanyi kazi, am real sorry for you
  4. M

    Rais Magufuli hawezi kuinyoosha nchi, anaivuruga Tanzania

    Baada ya hayo nini impact yake? Je ajira mpya za watu wasio na vyeti feki zimetengenezwa?huduma za kijamii kwa maana ya afya,elimu nk zimeongezeka ubora kwa % ngapi? Je misheni town baada ya kuondoshwa maisha mameboreka kwa % ngapi?
  5. M

    Rais Magufuli hawezi kuinyoosha nchi, anaivuruga Tanzania

    Pasi ya kunyooshea hii nchi walishaiandaa watanzania kupitia Mzee walioba full stop,hizi siasa nyepesi anazofanya mtu wenu ni sawasawa na mtu kugandisha maji kwenye friza harafu anapita kwa watu wa dizaini yako akijisifu kuwa amebadirisha maji kuwa jiwe nawe ukapiga vigelele sana maana hujui...
  6. M

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania ianze kutoa misaada hata kwa nchi za Ulaya

    Mkuu kumbuka yangu Tanzania ipate Uhuru 1961 hadi 1992 tulikuwa tunachagua mtu na kivuli,yaani kwa miaka 31 bila democrasia tulishidwa kumaliza tatizo la madawati,shule na barabara nyingi zimejengwa wakati wa democrasia ya vyama vingi,sasa wewe endelea kukariri,anachofanya ndugu yako si kwa...
  7. M

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania ianze kutoa misaada hata kwa nchi za Ulaya

    Inawezekana ila tunahitaji plans and strong institutions si one man show na mikurupuko
  8. M

    Dr. Magufuli ni Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi

    Ujinga huu unatetewa kwa faida ya nani? He is too unprofessional no matter umevunja sheria or not.
  9. M

    Nyuma ya kauli "Urais ni mateso" kuna lengo hili hapa

    Kwani yeye nàni hata wàtu waanze kujiulizà kama huyu kushindwa sisi je?
  10. M

    Uhuru wa wachunguzi huru

    Nataka kufanya utalii
  11. M

    Uhuru wa wachunguzi huru

    Kwa kwa maelezo yako swala Hapa ni Chadema kukubali na si kumtafuta muharifu aliyetàka kutoà roho ya mtanzania mwenzetu right¿ Chief,I work for General mills but based in Malawi, I will be in Minneapolis- Minnesota from October 15th to December 20th,çan we meet,I believe ili kujustify kuishi...
  12. M

    Uhuru wa wachunguzi huru

    Pole pole saña ndugu maana hujui kàma hujui
  13. M

    Uhuru wa wachunguzi huru

    Mkuu una umri gàni?
  14. M

    Uhuru wa wachunguzi huru

    Kwa hiyo kama lissu na Dereva wake wangeuwawa pale ndo ingekuwa basi tena kwà mujibu wa akili yako? Kuna akili za ajabu dunia hii du
  15. M

    Uhuru wa wachunguzi huru

    Mkuu mbona USÀ kuna watu wengi wenye waledi wa hali ya juu sana na nchi hiyo imeendeleà sana,sasa wewe imekuwaje hata kucopy na kupaste ushiñdwe? Chadema nini mpaka ilipie gharama za uchunguzi? Au na wewe ni miongoni mwa wale watanzania wachache na serikali yao wanaoamini mtu kàmà si mwanaçcm...
  16. M

    CCM kwanini mnamlea Mbowe kama kweli ni muuaji?

    mkuu kwa serikali hii ya ccm mtu yeyote ambaye si mwanaccm,mtu ambaye ni mwanachama wa chadema au CUF añahesàbika ñi mtànzàñia pale linapokuja suala la kulipà kodi tu,ila kwa mambo meñgine hahesabiki kama ni mtanzania hivyo hasitahiri kulindwa wala anaewaua wenzake hatakiwi kuchukuliwa hatua, by...
  17. M

    Nassari na Lema: Tuna ushahidi wa madiwani waliohama wakipokea rushwa, tupo tayari kuwaonyesha TAKUKURU na DCI

    Tanzania maendeleo yanaletwa na mbunge? No wonder tulikataa katiba ya walioba
  18. M

    Maneno ya Gambo Ingekuwa Wakati Ule Monduli, Wangemshusha Jukwaani.

    Ndiyo tunajua,ila walioweka hivyo vyeo pamoja walitegemea mtu 6eyote mwenye hadhi ya kuwa ràis awe professional, yaani ajue ñi wapi nafanya kama rais na nafanya kama mweyekiti wa ccm,bahati mbayà katika historia ya nchi yetu kwa Mara ya kwanzà nafasi hiyo imeshikiriwa na a very unprofessional...
  19. M

    Maneno ya Gambo Ingekuwa Wakati Ule Monduli, Wangemshusha Jukwaani.

    Tanzania bwana vituko tu.why tusibadirishe katiba kwanza ili tuwe na time guru ya uchaguzi then tuingie ulingoni kutafuta Nani mbabe,sasa matokeo yaliotanganzwa na yule aliyeteuliwa na mgombeà mmoja wapo na aliyeambiwa kwa kuwa nàkulipa mshahara na kukupa gari ya kutembelea then umtangaze...
Back
Top Bottom