Search results

  1. PROF. ENG

    Mapenzi kati ya ndugu kwa ndugu.

    Binamu nyama ya hamu.........
  2. PROF. ENG

    Sio siri tena: Polisi wanawaonea CHADEMA,wanapendelea CCM

    Wtambue tu kwamba "HAKUNA NGUVU KUBWA KULIKO YA WANANCHI".
  3. PROF. ENG

    sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

    Ngoja CDM ichukue nchi, utaipenda tu!, POLE!!, presha inapanda inashuka..... http://www.youtube.com/watch?v=yLr9p3STsP8
  4. PROF. ENG

    Uchafu ndani ya ndoa waendelea: Babu wa miaka 70 anaswa na mke wa mpangaji wake....mumewe aamua kusu

    Dah! Najribu kufikiria huyo Babu alitumia gia gani kuchukua huyo mke wa mpangaji wake. Huyo mke hafai kabisa.
  5. PROF. ENG

    (Picha) CDM ilitumia malori kusomba watu Iringa

    Kwahiyo FFU ni chadema!!!, Jinsi ambavyo haziwatoshi itafika wakati hata JK mtasema ni chadema.
  6. PROF. ENG

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Mkuu wa mkoa ndio huyo mwenye bluu, weka ya mkuu wa mkoa akiwepo.
  7. PROF. ENG

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Huyo jamaa aliyemwelekezea bunduki ndio aliyefyatua nini.!! Duh!!, hawa jamaa sidhani kama ni watanzania.
  8. PROF. ENG

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Umeruhusiwa mkuu, shida iko wapi, kama ni za kweli, weka.
  9. PROF. ENG

    Ukimwi na Mapenzi

    Ya Mungu mengi.
  10. PROF. ENG

    Ukimwi na Mapenzi

    Mke baada ya kujulikana kama ana ukimwi, alitubu, akawataja watu wake wawili ambao ndio alikuwa anakutana nao, mmoja ameshatangulia mbele za haki, anahisi huyo ndio alimuambukiza. ni mfanyakazi mwenzie ofisini anapofanyia. Mume alimkumbusha hayo maneno mkewe aliyomwambia miaka kama nane...
  11. PROF. ENG

    Ukimwi na Mapenzi

    Mume wangu nakupenda sana, ujilinde, mimi siwezi kukulinda au kukuchunga kila uendapo, unaweza ukawa kuna mambo unayafanya ambayo mimi hutaki niyajue na wala sitaki nijue, Tafadhali sana lolote lile utakalofanya jua kuna ukimwi, Angalau ukumbuke kutumia kinga, kwakweli sitakusamehe wala...
  12. PROF. ENG

    Ongezeko la Mshahara: Nini maana yake?.

    Wameshaongeza kiasi gani!!
  13. PROF. ENG

    Walimu wa Vyuo na Mgomo wa Walimu

    Hivi walimu wa vyuo nao wapo kwenye huu mgomo wa walimu!!, Kama hawapo kwani wao tofauti yao na hawa wengine ni nini!!.
  14. PROF. ENG

    Ongezeko la Mshahara: Nini maana yake?.

    Inawezekana kweli tunadanganyika kwenye hili. Unaongezewa (Figure) mshahara kwa kiwango ambacho ni chini kuliko kiasi cha gharama za maisha zilivyopanda. Hii inakuwa haileti maana yoyote. Pili inawezekana kabisa kwa kupungua kwa gharama za maisha (chakula etc) unaweza ukasema vilevile...
  15. PROF. ENG

    Tanzania - SADC

    Nimeharibu kugoogle sipati jibu, tuendelee kungoja wataalam hapa.
  16. PROF. ENG

    Ushamba: Simu za Gharama

    Duh! kumbe washamba tupo wengi!!!.
  17. PROF. ENG

    Airtel internet, vipi tena?

    Ni kwamba wamepandisha gharama za Internet au vipi, mbona inaisha haraka hivi. Sisi tuliokuwa tunajikamua na 2500 kwa 400mb si ndio basi tena!!.
  18. PROF. ENG

    Mi naogopa mende

    Hivi hakuna wanaogopa sisimizi!!!!
  19. PROF. ENG

    Bongo movies bwana, du!

    Kama ndio mkeo sijui ndio inakuaje!!!
Back
Top Bottom