Search results

  1. S

    Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    huyu muhind ni mshenzi sana ajue kwamba yeye sio mungu, iko siku yake kazeni buti makamanda abaki na ela ondokeni na ujuzi wenu
  2. S

    Serikali yamgwaya Lema

    Semeni mtakavyosema nyie magamba lema ndo mfalme wa arachunga na ndo atakayekomboa wananchi kwenye ili janga la chukua chako mapema lazima vipara viwaote kabla ya siku zenu
  3. S

    Lema amvaa Mkapa, yeye (Mkapa) ajitetea...

    Yani lema ni kamanda anaitaji pongez tumpe ushirikiano
  4. S

    Mwisho wa CCM waja: Wameanza kuweweseka!

    Mapepo ya sisisiemu yameshindwa ni aibu tu sisi tuna mungu waooo wanaela kushne kushne kikwete na serekali yako peopleeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
  5. S

    Mgomo wa madaktari: Huu ni ugaidi

    Madaktari kuweni na huruma kwani wanaoumia nisisi wa hali ya chini na sio hao viongoz kwan wao wakiumwa kdogo wanaenda nje ndo maana hata awajali lakini ingekuwa pia na wao wanaenda hospital zetu hizi wangetekeleza waliyoyasema jamani wananchi tunalia kwa ajil ya hili tunapoteza maelfu ya ndugu...
  6. S

    Majina matatu tume ya kurekebisha katiba toka CHADEMA, nani awemo?

    makamanda watatu hawa wasiachwe dr. slaa, lema, bila kumsahau Tundu lisu
  7. S

    Waungwana ebu tupeane msaada hapa kuhusu huyu Mbunge wa ngorongoro-Saning"o Ole Telele

    Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ya kitalii uku ngorongoro.Kwa kipindi sasa nimekua nikifuatilia utendaji wa uyu bwana kuanzia bungeni kwenye uwakilishi wake kwa wananchi mpaka utendaji wake jimboni kwake. Nikianzia bungeni kwanza upeo wake wa kuwasilisha matatizo ya wananchi ni...
  8. S

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    yani hata miminimechoka wana jamii manake hata birthday watu wanaomba mchango eti wanakuja na kitambaa cha sare ya birthday eti wanataka uwachangie bado uvae sare ya birthday, zawadi, kumtunza mama wa mtoto mh aibu imezidi.
  9. S

    NEC Dodoma, JK akana kumtuma Nape kumwita Lowassa gamba

    tangu lini mtoto wa bagamoyo akawa rais na wakati fani yake sangoma ndo atajuta kwanini alichakachua kura na bado huo ni mwaka ajamaliza mpaka ifike mitano atakufa na presha mwisho wenu magamba umefika poleeeeeeee saaaana chademaaaa oyeeeee watoto wakiumen big up makamanda nyie watishien...
  10. S

    Makongoro Nyerere ampasulia JK!

    CCM chama cha mafisadi kwani lowasa yeye ni nani mpaka asing"olewe ni ujinga wao hao magamba
  11. S

    Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

    ntampeleka polis moja kwa moja sitamwangalia usoni na pia ntasema ni mbakaji
  12. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    watafurah magamba mwaka huu ni wao chadema oyeeeeeeeeeee
  13. S

    Kama ni kweli, ni picha gani unapata hapa??

    huyo mwanaume anatafuta visa tu manake kma anampenda mke wake hata siku moja awezi kufanya upuuz huo wako wengi wanaume wa dizaini hiyo
  14. S

    Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

    Na bado anataka kuwadanganya watu wazima na wakati wanaju kila kitu poleeee sana magamba kwa Arusha mmechemsha
Back
Top Bottom