Search results

  1. M

    Matokeo 2012

    Gd night all of u.And wait results of o level how ppl increase and decrease in performance.
  2. M

    Matokeo 2012

    Yapo vp?Hivi haya matokeo ni ya wa2 wote au bnfs? Km n y wt 2subiri necta ita2jurisha 2ache brah brah.
  3. M

    Msg toka kwa mpenzi:

    Weeee,"PIMBI"mpige sound 2,atakuelewa.Ukitoa username na password utashindwa kujimwaya.
  4. M

    Tofauti kati ya mwana siasa na mwana harakati

    Mwanaharakati ni mtetezi wa wanyonge na anayepinga mabaya yasitokee kwa jamii. Mwanasiasa ni mtu anayejihusisha na siasa lakini anaweza asiwe mtetezi wa wanyonge. Mwanaharakati anaweza kuwa mwanasiasa ili aweze kuitetea jamii kupitia madaraka yake.
  5. M

    Nepotism

    Jana bungeni ktk majadiliano ya sakata la nishati na madini,Mh.Dalali kafumu anatajwa km muhusika wa ulaji wa rushwa kwa ushahidi wa kupokea posho ya sh.5 na elfu thelathini kinyume na sheria.Kitendo kilichotokea kabla hajawa mbunge wa Igunga. Je chama cha mapinduzi kina nia nzuri ya kufuga...
  6. M

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    Sawa ni wazo zuri sasa vijana wenye age ya 30's kuwa viongozi wa juu yaani umwenyekiti,but kwa chama cha CHADEMA kilichopo chini ya serikali kandamizi ya CCM maandamano huru yasiyo na vurugu yanaitajika.Serikali yetu haisikii until effects seen.Mh.Mnyika kuwa mwenyekiti atapata kibarua kigumu...
Back
Top Bottom