Search results

  1. K-killer

    Hii interview ya Rightway Primary school inatesa watoto

    We kwanza hata sidhani kama unasomesha au unawatoto. Kama unaufahamu kwa mimi tuu kukuambia watoto wangu nawasomesha hapo na sina mpango kuwatoa basi itoshe kukaa akilini kwako kua shule ni nzuri. Nimeuwona uwezo wa watoto wangu tokea wanaanza na wanavyo kua kiakili, kielimu na uwezo wao...
  2. K-killer

    Hii interview ya Rightway Primary school inatesa watoto

    If you think education is expensive try ignorance. kama unauelewa msemo huu basi utatulia
  3. K-killer

    Hii interview ya Rightway Primary school inatesa watoto

    Mimi personally watoto wangu wawili nawasomesha hapo na siwezi kuwahamisha, it is one of the best schools. Angalia matokeo yake kimkoa na hata kiwilaya imafanya vizuri sana. Alieanzisha mada hii hata hana alijualo kuhusu shule hii.
  4. K-killer

    Hii interview ya Rightway Primary school inatesa watoto

    Hehehehe Mkuu umenifurahisha na jibu lako. Hawa watu wengine wanakuaga wagumu kufikiri sasa sijui altaka mwanae apewe interview ya dakika moja na somo moja ndo aridhike. :)
  5. K-killer

    Hii interview ya Rightway Primary school inatesa watoto

    We bibie sasa ulitaka wapewe mtihani mmoja? Kama wamepewa masomo manne na hayo masaa manne inamaana kila somo watumie lisaa limoja kufanya. Rightway ni shule nzuri sana na ni adimu kupata chance pale kwa jinsi ninavyojua. Mimi hoja yako uliyotoa hapa naona haina mashiko kabisa, jipange.
  6. K-killer

    Wimbo wa mwana ni dongo la Diamond, unabisha?

    Umeonyesha uwezo mkubwa sana wakuchambua. Props to you
  7. K-killer

    New HTC one x 32 GB at 335000

    Is it brand new? Nina 200,000 cash on hand now, tumalizane?
  8. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Thanks brother! Ukiwa muaminifu na ukiwauzia watu kitu Cha uhakika inakua rahisi hata next time kuaminika ukitaka kuuZa product nyingine! Asante kwa feed back kaka.
  9. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Send me your number nikupigie mkuu, ipo moja imebakia.
  10. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Inategmea na choice ya Mtu a napenda brand gani, lakini sony wane prove to be the best brand so far.
  11. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Sijakasirika ndugu yangu nilikua tuu nakwambia kua sina hizo na wala siijui bei yake kwa sasa maana sina stock hiyo
  12. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Mi siuzi 64, nauza 32... Sasa unaniuliza bei ya 64 mi ntajulia wapi?
  13. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Nimekutext kwenye msg kaka
  14. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Sio smart ndugu yangu, but it's of good quality and brand new, inbox me ur number if interested
  15. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Send me your number in my inbox
  16. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Kwa 550,000/- nitauza kamza
  17. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Ni PM tuongee vizuri private Kaunga
  18. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    Not used brother! Zote ni brand new ndo maana unaona kwenye box hazijafunguliwa
  19. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    contact me here in JF if interested
Back
Top Bottom