wanawake tumekuwa ktk mstari wa mbele kudai HAKI na FURSA SAWA kwa wote (50% kwa 50%) mbona majukumu ya familia tunayakwepa??? tena na majina kibao ya kuwadhalilisha wenzi wetu, (sharobaro, mwanaume suruali, nk) tutaongozaje jamii na taifa kama hatuwezi kuongoza familia zetu?
Namaanisha...
Unadhani sis kama wanawake wa tz tuna sababu yakusherekea miaka 50 ya uhuru? Tumefanikiwa nini mpaka sasa?
kama kuna chochote tumenufaika toka uhuru mpaka sahivi tukiseme...
*Tunafuraha kujiunga na jukwaa hili kwa mara ya kwanza, lkn kikazi zaidi.
*Tungependa kufahamu mwanamke wa kisasa yukoje? Maoni yako ni muhimu sana kwetu. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.