Search results

  1. D

    Hodii, hodii !!!

    Asanteni wandugu. Mimi ni mmojawapo nataka kuelimishwa kuhusu huu mzozo uliokuwa ukiendelea bungeni kuhusu katiba, hivi ni nini hasa kinachozozaniwa kiasi cha wabunge wengine kuamua kutoka nje?nawasilisha!
  2. D

    Hodii, hodii !!!

    Wakubwa "shikamooni", wenzangu "mambo?" na wadogo zangu "hapo vipi?" naombeni ridhaa yenu nami nijongee hapa jamvini nipate uweledi.
Back
Top Bottom